Rostam Aziz: Dr. Slaa hatari kwa Taifa...............

Hivi huku kama siyo kukiri basi nini?
 

Upeo wa Rostam Aziz unatia mashaka makubwa sana.........Hivi ni kweli kuaminika kwa Dr. Slaa kunatokana na historia yake ya kidini?

Huu udini unatoka wapi.....mchango wa Dr. Slaa kwenye bunge kwa takribani mika 15 ndiko kumemweka kwenye chati.............suala la udini ni la viongozi wa juu wa CCM baada ya kubwaga kwenye uchaguzi huu hawataki kusoma alama za wakati kuwa wapigakura wamechoshwa na ufisadi.....kama huu wa DOWANS..........................
 
Kama rostamu na lowasa ndiyo wanamoungoza kikwete kwa rimoti control....kweli ni kazi kwa watu hawa kuchuka viza au passaport inayonesha walikuwa nje ya nchi.......pinda alisema tukiwakamata nchi haitatawalika...kikwete ni swaiba wao sasa wale ndiyo wenye nchi...km ndiyo wenye nchi na rais anawasikiliza wao unadhani kuna kitu hawawezi kufanya.................hivi lakini nyie watu wa igunga kwa nini mnatuletea watu hawa kutoka asia mngali na vijana wengi mliowasomesha na wanaojua matatizo yenu..................hata km mnampenda sana lakini analiingiza taifa kwenye matatiuzo kwa sababu yenu?.......watoto wenu na familia zenu na marafiki zenu hawaishi igunga wanaishi tz.....rostamu ni sumu kali mno?
 
nimecheka sana!! kwa kutetemeka mno
mhujumu uchumi RA

tunakungoja mahali aisee
 

Kwamba yeye ndio aliwashawishi Dowans? bado anajiona hahusiki kwa majibu hayo? nani wa kudanganywa tena leo hii?
Kaimaliza Tanesco sasa hayo ya uwekezaji wa anga tena inakuwaje..? hapana haiwezekani kuvumilia udhalimu wa kiwango cha juu hivi.akitoka kwenye anga atahamia kwingine mwishowe atazitaka roho zetu.
 
Alipotakiwa kueleza iwapo yeye ni mmoja wa watu wanaotarajia kufaidika na malipo ya shilingi bilioni 185 ambazo TANESCO inatakiwa kuilipa fidia Dowans, mfanyabiashara huyo alikana kuimiliki kampuni hiyo.
Mbali ya kukanusha hilo, Rostam aliyabeza madai ya baadhi ya wanasiasa wanaohusisha fedha hizo na yeye akisema katika mkusanyiko wa biashara zake anazofanya ndani na nje ya nchi kiasi hicho cha fedha wanazotarajiwa kulipwa Dowans ni
sawa na mapato yake ya miezi minne tu.

Nimefurahi kwa hili.....yaani 185bn kwa miezi minne maana yake 46.25bn kwa mwezi....mara 30% ni 13.88bn in taxes per month due to TRA...Kitillya atuambie kama analipa hizi kodi
 

Itakuwa vizuri sana kama siku moja Bin Laden akianza kusema fulani ni hatari kwa ugaidi.
 
I happen to Rostam Aziz, I hate him so deeply it pain me to complete reading a sentence quoted from him!

I hate Rostam Aziz because I believe he is one of the reasons the government have not been able to provide our neighbourhood with passable road.

I hate Rostam Aziz because he has contributed to the thefty of the resources that would otherwise have been used to address most of the social ills that my parents back home are still suffering, regardless of the 50 years of independence of this country.

I HATE TO HEAR ROSTAM SPEAK AGAINST MY IDOLS, I HATE TO HEAR HIM SAY HE IS TANZANIAN
 
Rostam ana passport kibao za nchi tofauti, yeye huwa akiondoka hapa anatumia pasi ya bongo akifika Nairobi akiendelea na safari zake anatumia pasi aya Iran, kwa hiyo utetezi wa kuonyesha pasi yake hauna mashiko huyu mtu ni jasusi na gaidi, ni mtu hatari sana huyu.
 
Big up Rostam Aziz kwa maelezo mazuri sana,wewe huusiki kabisa na lolote wanakupaka matope tu hawa,Endelea kula bata tuu
walai vile leo ungekuwa karibu yangu ningekupiga kibao cha pua!
 
yeye ndiye hatari kuliko kitu chochote na yeye ndiye atakaye leta machafuko nchi hii,na hili la arusha ni yeye kwa sababu alijua bomu la dowance linaenda kulipuliwa,likitokea lakutokea yeye atakimbilia irani sisi tutaenda wapi?
 
Siku watanganyika tutakaposhika hatamu!! Wewe na huyo RA wako... you'll be dead meat!!! And I promise you.... That wont be long!!!!

Kweli mwana ila mwenyewe ra ameshashtuka hadi kutamka kuwa yeye ra anamuona dr wa ukweli ni adui atajiju
 
Rostam amedai kuwa anaweza kuingiza kiasi tunachotakiwa kuilipa Dowans (185 bil) kwa miezi minne tu.

Nakubaliana nae ktk hilo, na kiasi hicho tu, anaweza kuingiza hata zaidi, maana kama dili zake ndo hizi kwanini asipate kiburi cha kujivuna?

Kama Rostam amecheza dili la 185 bil. hapa TZ, just imagine akicheza madili kama hayo nchi nyingine walau 5, kwanini asiingize kiac hicho cha fedha hata kwa week?

Rostam ana uwezo wa kujigamba. Anauwezo wa kudai kuingiza hata kwa siku kiac hicho, maana ana dili nyingi anazocheza za mabilioni ya fedha na zinawagharimu wananchi. Nani asiyejua kuwa Rostam ni misheni town??
 
Kikwete ni ngumu kumshughulikia Rostamu kwani hamjui ni shemeji yake? JK kamuoa dada yake tena anakaa ikulu kwenye kale kajuma kadogo ambocho Raisi mstaafu Mwinyi alimhifadhi bibie mdogo. Kwahiyo ni ngumu sana kumshughulkikia shemeji. Rostamu noma kaamua kutoa dada ili aitafune nchi.
 
Huyu jamaa rostam ni ngemse sana anavyosema dr ni hatari.nyani haoni kundule.jinsi lilivyo jizi inaelekea hatari ni huyo mama yake aliyemzaa maana inaelekea hata ujauzito wa rostam kwa mama ake ulitokana na kuchakachua.mimba yake mama yake aliiba ndo mana akazaa jizi tena la hatari kwa taifa.
 
Kweli sisi watanzania ni wapole hivi huyu Rostam bado yupo hai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…