Rostam Aziz bilionea no. 1 Tanzania

Rostam Aziz bilionea no. 1 Tanzania

...na NUKUU ! MBUNGE wa Igunga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rostam Aziz, ni miongoni mwa wafanyabiashara kadhaa wanaotajwa kufilisi Mfuko wa Chakula (FACF) baada ya kuchotewa na serikali zaidi ya Sh. 200 bilioni.

Taarifa za ukakika zilizothibitishwa na Serikali, zinasema Rostam alichotewa mabilioni hayo ya shilingi kupitia kampuni yake ya African Trade Development.

Mfuko huo unaoendeshwa kwa pamoja kati ya Serikali ya Tanzania na Japan.

----------- imeelezwa kwamba Rostam, pamoja na wafanyabiashara wenzake kadhaa wameshindwa kurejesha fedha hizo kama walivyotakiwa na serikali.

Kampuni ya Rostam ilichotewa zaidi ya Sh. 2.012 bilioni Novemba 1999, lakini hadi mwishoni mwa mwaka jana, fedha hizo hazikufanya kazi iliyokusudiwa.

Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula katika serikali ya rais mstaafu Benjamin Mkapa, Charles Keenja, ameithibitishia gazeti hili kutolewa fedha hizo.

Alisema, "ni kweli wapo wafanyabiashara ambao walipewa fedha kutoka katika mifuko hiyo. Na hadi naondoka ofisini (mwaka 2005), nyingi ya fedha hizo zilikuwa hazirudishwa."

Hata hivyo, Keenja aliongeza kwamba "fedha za Mfuko wa Chakula huwa hazikopeshwi, bali mhitaji hutakiwa aandae mradi wa maendeleo wenye manufaa kwa jamii. Akishindwa kuendesha mradi, anatakiwa kurudisha fedha mara moja."

Mbali na Rostam, wakurugenzi wengine wa African Trade Development, ni Gulam A. Chakaar na Bahram A. Chakaar.

Makampuni mengine yaliyochotewa fedha, ni Tanganyika Farmers Association Limited (TFA) ambayo wakurugenzi wake ni Ndesario K. Shangali, Elia R.K. Mshiu, C.J Bannister, Elisamia I. Swai, Eric Jorgensen na Charles D.J. Mungai.

Mengine ni Ramwigema General Suppl ambayo inamilikiwa na G. Mwinuka na wenzake na Sales Point Company Limited, inayomilikiwa na Matunda Abdulrahman na Abdallah S. Hassan.

Makampuni mengine yaliyochotewa fedha ni VIP Engineering inayomilikiwa na James B. Rugemalira, Mathias Mutabirwa, Suleiman A. Abubakar, Gwalugano Mwamukonda na Mohamed B. Somji.

Mengine ni TANTI Co. Ltd., inayomilikiwa na Nuru A. Kihiyo na Twaha Y. Kaujanja; BCS Limited ikimilikiwa na Jackson V. Kaale, Kandaga J. Muhangwa, Edmund Mkwawa, Flavian I. Gowele, Judith M. Juma, Abdul Nuru Suleiman, Fatuma B. Mikidadi na Salome J. Mbatia.

Ipo pia Agro – Impex inayomilikiwa na Parvez Vira na Azmina Vira.

Wakurugenzi wengine ni makampuni yao kwenye mabano, ni Juma Ngalema na wenzake (Kiswele Salt Works Ltd); Bupen S. Tank na wenzake (Shivlal Tank & Co) na W.C. Marwa na wenzake (Tanzania Fertilizer Company).

Mbali na Mfuko wa Chakula, pia fedha hizo zilitolewa katika Mfuko wa Pembejeo.

Mifuko hiyo ilianzishwa kwa lengo la kuiwezesha Serikali kupata uhakika wa chakula kwa wananchi wake pamoja na kusukuma mbele miradi ya maendeleo katika sekta ya afya, elimu na maji.

Mfuko wa Chakula ulikuwa ukitoa ruzuku kwa wafanyabiashara wakati Mfuko wa Pembejeo ulitoa mikopo ya pembejeo za kilimo ambayo ililazimu mkopaji kurejesha.

Taarifa kutoka Ubalozi wa Japan nchini, zimesema kwamba hatua ya serikali kutoa fedha hizo bila ya kufanyiwa kazi iliyokusudiwa, imechangia kuzorotesha madhumuni ya mifuko hiyo.

----------- lilipowasiliana na Afisa Mtendaji Mkuu wa mifuko hiyo, Dk. Lorri Willibald, alithibitisha kuwapo kwa wafanyabiashara waliochotewa fedha hizo lakini wakashindwa kuzitumia kama ilivyotarajiwa.

Hata hivyo, Dk. Lorri alisema kwa sasa hayuko katika nafasi nzuri ya kuzungumzia suala hilo kwa vile yuko nje ya ofisi.

Juhudi za kumpata Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa Peter Msolla, hazikuzaa matunda kwani simu yake haikupatikana kwa muda mrefu.

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula ambaye sasa ni Naibu wa Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Christopher Chiza, alisema ingawa walifanya jitihada kubwa kuhakikisha fedha hizo zinarudishwa, hadi anaondoka, kiasi kikubwa kilikuwa bado hakijapatikana.

Tukio hilo linaendelea kuthibitisha namna fedha za umma, zikiwemo zile zinazotolewa na washirika wa maendeleo, zinavyotafunwa na wajanja wachache kwa maslahi yao binafsi.

Aidha, taarifa hizi zinakuja wakati Watanzania wakisubiri hatma ya wakwapuaji wengine waliotafuna mabilioni ya shilingi katika Akaunti ya Malipo ya Nje (EPA).

Wajanja wametafuna zaidi ya Sh. 133 bilioni za fedha hizo zilizochotewa makampuni kadhaa kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha katika kipindi cha mwaka 2005/06.

Wizi wa fedha hizo uligunduliwa na maodita, kampuni ya Ernst & Young walioelekezwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini (CAG) baada ya kubainika upotevu wa fedha katika akaunti hiyo.

Vilevile, sakata hili linaibuka sasa wakati ambapo haijajulikana hatma ya watendaji serikalini waliongiza nchi katika mkataba wa kinyonyaji wa Richmond.

Katika mkataba huo, shirika la umeme Tanesco linailipa kampuni hiyo kupitia dada yake Dowans, Sh. 152 milioni kwa siku.

Kweli hapa Bongo kuna watu wanakula kilaini bila jasho kabisa. Huyu Rugemalila nimemvulia kofia,dah,maana yeye kwenye madili makubwa ya Wizi na Ufisadi wa fedha za Umma lazima awepo. Hongera zake sana.
 
Walisema bilionea kijana. Soma vzr katikati ya mistari vinginevyo utajichanganya mwenyewe

Unazungumzia source gani? Ventures Africa wamesema MO ndio bilionea namba moja Tanzania, akiwa na utajiri wa zaidi ya usd 2b, akifuatiwa na Rostam Aziz.
 
RED: Aisee...hii mbona hatari , kumbe jamaa kashiriki michezo ya kifisadi muda mrefu.
 
kingmaker wa ccm,ebu tuambie nani rais wa jamuhuri tukufu?
 
Tunachohitaji kufahamu, ni namna gani aliupata utajiri huo akiwa Mtanzania na kiongozi. Tunachohitaji si yeye kuwa maskini kama sisi lakin ni usafi na uhalali wa ukubwa wa utajiri wake.

Tunataka kufahamu biashara ama kazi iliyomfikisha hapo na kama alilipa kodi zetu ipasavyo na kufuata taratibu za kisheria.

Wivu hapana. Lakini tunahitaji kuhoji na kujirhidhisha kama si fedha haramu zilizopatikana kwa kutuibia ama kwa uharamia wowote. Ccm hawaaminiki.

UJUMBE RASMI. YEYOTE ALIYETUIBIA, KWA WAKATI WOWOTE, ATAWAJIBIKA. NA MALI YETU YOTE ILIYO KWIBWA, AMA ILIYOPATIKANA KWA HUJUMA, TUNAITAKA KUTOKA KATIKA PEMBE YOYOTE YA DUNIA.

Waambieni Rostam, Lowasa, Ridhiwani, na wezi wengineo.

Mbona umewasahau kina MENGI na Matajiri wa KASKAZINI?

Watu wa CDM mna Balaa
 
Wewe mpagan,
Naona dini ya kipagani inaendelea kukuweka wazi jinsi ulivyo kiazi!
Yaani kwa kuwa mwizi ni "mwenzenu"basi wizi wake ni kwa ajili yenu,hivyo mtatamtetea kwa jinsi yoyote!

Narudia tena,Dini ni mahusiano ya mtu na Mungu,sasa inapokuwa ni mahusiano ya kundi la WATU na Mungu basi hiyo dini ina shida ndani yake!

Dini nyingine ni za kuweka kwenye dustbin!
 
...na NUKUU ! MBUNGE wa Igunga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rostam Aziz, ni miongoni mwa wafanyabiashara kadhaa wanaotajwa kufilisi Mfuko wa Chakula (FACF) baada ya kuchotewa na serikali zaidi ya Sh. 200 bilioni.

Taarifa za ukakika zilizothibitishwa na Serikali, zinasema Rostam alichotewa mabilioni hayo ya shilingi kupitia kampuni yake ya African Trade Development.

Mfuko huo unaoendeshwa kwa pamoja kati ya Serikali ya Tanzania na Japan.

----------- imeelezwa kwamba Rostam, pamoja na wafanyabiashara wenzake kadhaa wameshindwa kurejesha fedha hizo kama walivyotakiwa na serikali.

Kampuni ya Rostam ilichotewa zaidi ya Sh. 2.012 bilioni Novemba 1999, lakini hadi mwishoni mwa mwaka jana, fedha hizo hazikufanya kazi iliyokusudiwa.

Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula katika serikali ya rais mstaafu Benjamin Mkapa, Charles Keenja, ameithibitishia gazeti hili kutolewa fedha hizo.

Alisema, "ni kweli wapo wafanyabiashara ambao walipewa fedha kutoka katika mifuko hiyo. Na hadi naondoka ofisini (mwaka 2005), nyingi ya fedha hizo zilikuwa hazirudishwa."

Hata hivyo, Keenja aliongeza kwamba "fedha za Mfuko wa Chakula huwa hazikopeshwi, bali mhitaji hutakiwa aandae mradi wa maendeleo wenye manufaa kwa jamii. Akishindwa kuendesha mradi, anatakiwa kurudisha fedha mara moja."

Mbali na Rostam, wakurugenzi wengine wa African Trade Development, ni Gulam A. Chakaar na Bahram A. Chakaar.

Makampuni mengine yaliyochotewa fedha, ni Tanganyika Farmers Association Limited (TFA) ambayo wakurugenzi wake ni Ndesario K. Shangali, Elia R.K. Mshiu, C.J Bannister, Elisamia I. Swai, Eric Jorgensen na Charles D.J. Mungai.

Mengine ni Ramwigema General Suppl ambayo inamilikiwa na G. Mwinuka na wenzake na Sales Point Company Limited, inayomilikiwa na Matunda Abdulrahman na Abdallah S. Hassan.

Makampuni mengine yaliyochotewa fedha ni VIP Engineering inayomilikiwa na
James B. Rugemalira, Mathias Mutabirwa, Suleiman A. Abubakar, Gwalugano Mwamukonda na Mohamed B. Somji.

Mengine ni TANTI Co. Ltd., inayomilikiwa na Nuru A. Kihiyo na Twaha Y. Kaujanja; BCS Limited ikimilikiwa na Jackson V. Kaale, Kandaga J. Muhangwa, Edmund Mkwawa, Flavian I. Gowele, Judith M. Juma, Abdul Nuru Suleiman, Fatuma B. Mikidadi na Salome J. Mbatia.

Ipo pia Agro – Impex inayomilikiwa na Parvez Vira na Azmina Vira.

Wakurugenzi wengine ni makampuni yao kwenye mabano, ni Juma Ngalema na wenzake (Kiswele Salt Works Ltd); Bupen S. Tank na wenzake (Shivlal Tank & Co) na W.C. Marwa na wenzake (Tanzania Fertilizer Company).

Mbali na Mfuko wa Chakula, pia fedha hizo zilitolewa katika Mfuko wa Pembejeo.

Mifuko hiyo ilianzishwa kwa lengo la kuiwezesha Serikali kupata uhakika wa chakula kwa wananchi wake pamoja na kusukuma mbele miradi ya maendeleo katika sekta ya afya, elimu na maji.

Mfuko wa Chakula ulikuwa ukitoa ruzuku kwa wafanyabiashara wakati Mfuko wa Pembejeo ulitoa mikopo ya pembejeo za kilimo ambayo ililazimu mkopaji kurejesha.

Taarifa kutoka Ubalozi wa Japan nchini, zimesema kwamba hatua ya serikali kutoa fedha hizo bila ya kufanyiwa kazi iliyokusudiwa, imechangia kuzorotesha madhumuni ya mifuko hiyo.

----------- lilipowasiliana na Afisa Mtendaji Mkuu wa mifuko hiyo, Dk. Lorri Willibald, alithibitisha kuwapo kwa wafanyabiashara waliochotewa fedha hizo lakini wakashindwa kuzitumia kama ilivyotarajiwa.

Hata hivyo, Dk. Lorri alisema kwa sasa hayuko katika nafasi nzuri ya kuzungumzia suala hilo kwa vile yuko nje ya ofisi.

Juhudi za kumpata Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa Peter Msolla, hazikuzaa matunda kwani simu yake haikupatikana kwa muda mrefu.

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula ambaye sasa ni Naibu wa Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Christopher Chiza, alisema ingawa walifanya jitihada kubwa kuhakikisha fedha hizo zinarudishwa, hadi anaondoka, kiasi kikubwa kilikuwa bado hakijapatikana.

Tukio hilo linaendelea kuthibitisha namna fedha za umma, zikiwemo zile zinazotolewa na washirika wa maendeleo, zinavyotafunwa na wajanja wachache kwa maslahi yao binafsi.

Aidha, taarifa hizi zinakuja wakati Watanzania wakisubiri hatma ya wakwapuaji wengine waliotafuna mabilioni ya shilingi katika Akaunti ya Malipo ya Nje (EPA).

Wajanja wametafuna zaidi ya Sh. 133 bilioni za fedha hizo zilizochotewa makampuni kadhaa kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha katika kipindi cha mwaka 2005/06.

Wizi wa fedha hizo uligunduliwa na maodita, kampuni ya Ernst & Young walioelekezwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini (CAG) baada ya kubainika upotevu wa fedha katika akaunti hiyo.

Vilevile, sakata hili linaibuka sasa wakati ambapo haijajulikana hatma ya watendaji serikalini waliongiza nchi katika mkataba wa kinyonyaji wa Richmond.

Katika mkataba huo, shirika la umeme Tanesco linailipa kampuni hiyo kupitia dada yake Dowans, Sh. 152 milioni kwa siku.
huyu sio wa fedha ya ugoro
 
Habari zaidi kutoka ndani ya kikao hicho zinaeleza kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alitoa msimamo mkali kuhusu sakata hilo la escrow na kwamba ametaka hatua zichukuliwe kwa wahusika wote.

Katika kikao hicho inaelezwa kwamba Nchemba alionyesha msimamo wake waziwazi kuwa sakata hilo ni hujuma na kwamba haiwezekani walioiba fedha hizo wakaachiwa tu hivihivi.
Ndani ya kikao hicho imeelezwa kuwa Mwigulu alijitokeza na kusema Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameshamaliza utata hivyo, mali zote, fedha zote za IPTL zikamatwe na wahusika wote wakamatwe.
Alisema haiwezekani watu wakawajibika tu kwa kujiuzulu kwa kuwa huko ni kutoa tu likizo mtu akale mabilioni yake, hivyo wachukuliwe hatua ipasavyo na kufilisiwa.
“CAG ameshasema pesa zile zilikuwa mali ya umma, sasa zikamatwe zote na wahusika wote wakamatwe,” alisema Mwigulu.
Chanzo chetu cha habari kilieleza kuwa Mwigulu alienda mbali zaidi na kusema hata ambao walishastaafu na wamehusika kulihujumu taifa wakamatwe na akaunti zao zikamatwe, zifilisiwe na fedha zirudishwe kwa wananchi.
Pia aliagiza mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambaye anatuhumiwa kuchota Sh1.6 bilioni za akaunti hiyo afukuzwe kazi, akamatwe na akaunti zake za fedha zifilisiwe ili fedha irudi serikalini.
Habari za uhakika kutoka kikao hicho zinaeleza kuwa Mwigulu aliongea kwa sauti ya mamlaka mbele ya Waziri Mkuu na kusema kuwa kujiuzulu siyo adhabu stahiki kwa wizi mkubwa kama huo.
Mwigulu alisema: “Tazama wanafunzi, watoto wa maskini zaidi ya elfu 40 wamekosa mikopo, madawa hospitalini hakuna, maskini wanakufa, watu wasio na hatia wanafungwa kwa kukosa michango ya maabara, walimu wanadai fedha zao, wazabuni wanauziwa nyumba zao na benki huku wakiidai Serikali kwa huduma walizotoa, leo wezi tuwape adhabu ya kujiuzulu? Tuwape likizo ya kwenda kutumia fedha walizo waibia maskini?”
Kwa mtumishi wa TRA aliyekula fedha za IPTL zaidi ya 1.6 bilioni Mwigulu akatoa agizo:Nimemwagiza Kamishna wa Kodi amfukuze kazi yule mtumishi wa TRA iliyoko chini ya wizara yangu na afilisiwe, pia mitambo na kodi vikamatwe na wahusika wakamatwe.
“Hatuwezi kuendeleza mazoea ya kufunga maskini na kuwapa likizo wezi wakatumie fedha. Walio serikalini na walioko kwenye siasa wakamatwe na tuwafilisi fedha irudi serikalini,” Mwigulu alisisitiza.
 
Wewe mpagan,
Naona dini ya kipagani inaendelea kukuweka wazi jinsi ulivyo kiazi!
Yaani kwa kuwa mwizi ni "mwenzenu"basi wizi wake ni kwa ajili yenu,hivyo mtatamtetea kwa jinsi yoyote!

Narudia tena,Dini ni mahusiano ya mtu na Mungu,sasa inapokuwa ni mahusiano ya kundi la WATU na Mungu basi hiyo dini ina shida ndani yake!

Dini nyingine ni za kuweka kwenye dustbin!

Teh teh teh!

Yaani kuona jina Langu Tu roho imekuruka.
Wagalatia Nuksi sana.

Sasa hapa Unaleta UDINI tena?

Huna Hoja unabaki Kutujambia ovyo tu hapa Jukwaani.

Chadema Imeshakuvuruga.
Uliahidiwa Gari Naona hata Baskeli Huna?
Cheza na Wachaga Wewe!
 
watu wasio fikiri vizuri wataanza kufurahia utajiro wa mwislam mwenzao na kuleta udini hapa wakat huyu rostam kweli ni tajir no 1. kwa gharama ya wtz wote bila kijar dini zao mwiz ni mwiz bila kujari ni mkristo au mwislam hata wapagani wapo mafisad mojawapo kale kazee mnakajua mwanae dealer mkubwa wa ngada
 
forbers wao kazi yao ni kujua tu nani kawazid wenzie tarakim za kulia tu lakin kafikaje huko wao huwa hawajushughurishi na hilo pia hela ina kanuni moja fedha yeyote huwa imeandikwa fedha halali iwe ya sembe stil ni halali iwe ya wizi ni halali ya kuhungwa kwa kisingizio cha ngoz ni halali tu
 
watu wasio fikiri vizuri wataanza kufurahia utajiro wa mwislam mwenzao na kuleta udini hapa wakat huyu rostam kweli ni tajir no 1. kwa gharama ya wtz wote bila kijar dini zao mwiz ni mwiz bila kujari ni mkristo au mwislam hata wapagani wapo mafisad mojawapo kale kazee mnakajua mwanae dealer mkubwa wa ngada

Shangazi eee! We una habari Rostam Kawa milionare kabla hata hajaingia Kwenye SIASA?

Nenda igunga ukaulize wananchi wa pale Kitu gani kawafanyia.

Nyie maskini lzm muwe na wivu wa kijinga.
Pesa zako, we unapesa serikalini?

Wauza pombe za kienyeji pia wanalipa kodi?

Dah...!
 
Do you think this is the Gospel of Truth? I doubt!!! Utajiri wa kitanzania ni wa mashaka mashaka hata mtu akiandikwaje
 
Back
Top Bottom