Ni kweli kabisa Channel 10 wanampamba sana Lowassa na reporter siku zote ni mmoja ambae anaonekana kapewa jukumu la kuzunguka na Lowassa nchi nzima hata kule ambako Channel 10 ina waandishi(reporters) wengine!!
Ni mwanamke mmoja kwani sauti ni ile ile kila siku Lowassa awe Moshi,Mpanda n.k!
Jaman naona video ya matangazo ya mgombea mwingine na lowasa halaf tuangalie dakika mm siamin hili naona ni uzushi tuu na chuki Ndio ile ya Malima kusema mengi anajipendelea kwenye taarifa zake yale yalikuwa madai ya kijinga kabisa
huyu fisadi na kundi lake la majambazi
yeah! kundi lake ni akina Simiyu Yetu Ritz Lizaboni FaizaFoxy Mingoi MwanaDiwani TataMadiba thatha, LAKI si pesa Agogwe, mjepo and the rest of lumumba team.
Watanzania wengi wanawachukia Matajiri.
Rostam ni mfanya biashara hajawahi muibia mtu chochote. Mwenye ushahidi aende mahakamani
Watanzania wengi wanawachukia Matajiri.
Rostam ni mfanya biashara hajawahi muibia mtu chochote. Mwenye ushahidi aende mahakamani