minda
JF-Expert Member
- Oct 2, 2009
- 1,068
- 67
Chadema ni wasaliti wa maendeleo ya nchi hii ...unafikiri tutavuka kwa karibu ? No way to get out of this prism.
kweli wahindi mmejiandaa kutumaliza watanzania.
Chadema ni wasaliti wa maendeleo ya nchi hii ...unafikiri tutavuka kwa karibu ? No way to get out of this prism.
Kama ni suala la kuchafuana kwa mtindo huu basi CCM wakubali tuanze kuanika uozo wa viongozi wetu akiwemo, JK, Lowasa n.k wanavyotembea na wake za watu. Data tunazo. JK akiwa waziri wa madini alishawahi kumpa mtu scholarship ya kwenda kusoma nje ya nchi ili achukue mke wake na alifanikiwa kufanya hivyo. Lowasa naye kafanya hivyo na hivi sasa anatembea na wake za watu wengi tuu tunayajua yote haya.
CCM does not trumpet xenophobia like other political parties!
Rostam has done a lot of good both for his electoral district-Ingunga and this country. He deserves appreciation and respect. He's one of the most hard working local businessmen in Tanzania. He's is clean and very smart, contrary to the allegations of grand corruption that the opposition leaders have been voicing about. The people of Ingunga like him and that's the reason why he's been elected year in year out. Tanzania needs people like Rostam in order to take this ailing economy to the next level. Chadema and CUF stop being anti-business and hate Tanzanians of Asian origin. You can file charges to the court of law and not during the campaigns
Vote CCM!! Long live JK !!!!!!!!!!!!!!!!
wewe Mhindi andika Kiswahili, it's not even Ingunga, it's Igunga. mmtuibia muda mrefu, ndiyo huwa mnakimbia wakati wa uchaguzi! You know you are guilty, but your days are numbered! Kodi hamlipi, ndiyo maana kazi yenu ni kuipigia debe CCM at the expense of bonafide Tanzanians! Why are u always foot loose if you are Tanzanians, kumbuka mali zetu zitarudi! Kwa nini hamuishi kwenye makazi ya wazawa, mnaopgopa nini? Angalia sana, wengine tuna bifu na nyie pia!
Mkuu ndo uone hawa wahindi wanaojiita watanzania wako miaka mamia lakini hawajui kiswahili. Je utasema kweli ni Mtanzania huyu. Hawa jamaa wako kutuibia tu.
We are all Tanzanians, and Tanzania is for all races. Vote JKkweli wahindi mmejiandaa kutumaliza watanzania.
Wahindi hawana shida mkuu...ila...
Vichwa MAJI vya hawa wakuu wetu...na uapumbavu wa hao wasomi na watanzania wanaozidi kuwapigia kura hao viongozi vichwa maji...
Mbona enzi ya zile hapakuwa na wizi wa kijinga huu...na wahindi walikuwepo?
We are all Tanzanians, and Tanzania is for all races. Vote JK
kubwa jinga.CCM does not trumpet xenophobia like other political parties!
Rostam has done a lot of good both for his electoral district-Ingunga and this country. He deserves appreciation and respect. He's one of the most hard working local businessmen in Tanzania. He's is clean and very smart, contrary to the allegations of grand corruption that the opposition leaders have been voicing about. The people of Ingunga like him and that's the reason why he's been elected year in year out. Tanzania needs people like Rostam in order to take this ailing economy to the next level. Chadema and CUF stop being anti-business and hate Tanzanians of Asian origin. You can file charges to the court of law and not during the campaigns
Vote CCM!! Long live JK !!!!!!!!!!!!!!!!
too utopian!!! mbona kwenye kuoana peke yenu, misiba peke yenu, sherehe peke yenu? au mambo hayo hayatokei tzn ispokuwa kura tu?
Huyu Rostam kulaleki wee mwache tu
Naomba sm nzuri na mimi nianze...Wandugu watanzania wameshtuka issue hii ya Majangili.
Wengi sasa wanatumiana message kupitia simu zao za kukataa CCM; mwanga unaanza kuonekana.
Tuhamasishane kupinga CCM;
Siku hizi nawatumia marafiki na jamaa zangu message ya kuipigia CHADEMA na DR Slaa kura
hivi ukikutana nae pale mtaani kwenu itakuwa je?Huyu Rostam kulaleki wee mwache tu
nikipewa ujaji wa mahakama kuu naanza na kazi hii,
1. ROSTAM AZIZI, KIFUNGO CHA MAISHA JELA NA VIBOKO 2 KILA SIKU KWA UHUJUMU UCHMI
2. ABDURLAHAMAN KINANA, KIFUNGO MIAKA 90 JELA KWA UJANGILI
3. JK, KIFUNGO GEREZANI MIAKA 25 KWA KUTOWAJIBIKA KWA MADARAKA YAKE
4. EDWARD LOWASSA , KUNYONGWA HADI KUFA
5. PATEL NA SOMAIYA, KUYONGWA HADI KUFA
6. ANDREW CHENGE NA BEN MKAPA, KIFUNGO CHA MAISHA JELA
7. endelezeni list
haya yote yatafanyika kama tu Watanzania tutaruhusu mabadiliko ya kweli kwa uongozi wa Taifa letu.
ThubutuThis time wameula wa chuya, waTZ hatudanganyiki kirahisi tena hivyo.