Rostam aziz aibiwa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,875
Mbunge wa igunga mh r.a ameibiwa ofisin kwake na watu wasiojulikana
wenye kujua walichofanya pikipiki 50 na basikeli 50 na fulana na kalenda
zilizokuwa na picha ya shwahiba wake hussein bashe...bashe ni mjumbe wa uvccm
r.a alipoulizw simu ilikaa kimya bila kupokelewa kabla ya kukatwa
bashe alipopigiwa aliomba naomba nikueleze wameiba kidogo na mh ameomba usiandke chchte tafadhali.......ni kweli zilikuwa wepo 25 pkipki na 25 bkl za igunga na nzega ambako naenda kugombea ila nasubiri cham waturuhusu tujitangaze


kazi kweli kweli sellelliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii upo???
 
aliibiwa mgombea mwingine mtarajiwa wa kule kisiwani, na kama mambo yanakwenda.. tutasikia "wizi mwingi" tu..
 

...bashe ni mjumbe wa uvccm...mh ameomba usiandke chchte tafadhali.......ni kweli zilikuwa wepo 25 pkipki

Mbunge mzima na mjumbe wa UVCCM wanamwambia mwandishi wa habari asiandike habari ya jinai. Na huyo mwandishi ninahisi siyo wa himaya ya magazeti ya Rostam, wanamsihi asiandike habari, je anaowalipa mshahara...si labda anawazaba vibao hawasemi?

Wazo zima la uhuru wa uandishi wa habari hapa kwetu baaaaado!
 
Tunapoelekea tutasikiwa nae kaibwa kabisa
washen hawa wanatuibia kwenye ma bank bado na nguvu zetu wasije kumaliza za kiume tu ndio tatizo
 
Hawajaiba wamechukua chao mapema. si wenyewe wanasema Chukua Chako Mapema wanashangaa nini!! Well done
 
Yeye si katufisadi Watanzania? Hii ni mali yetu waache wahukue tu tena wachukue nyingi zaidi.
 
bashe alipopigiwa aliomba naomba nikueleze wameiba kidogo na mh ameomba usiandke chchte tafadhali.......ni kweli zilikuwa wepo 25 pkipki na 25 bkl za igunga na nzega ambako naenda kugombea ila nasubiri cham waturuhusu tujitangaze

Si umemcheki mwenyewe anasema wameiba kidogo tu.
...........Kaaaaaazi :behindsofa:kweli kweli.........
 
Si unajua mwizi hapendi kuibiwa? Tapeli pia hapendi kutapeliwa kama mwoaji asivyopenda kuolewa na mwalimu asivyofurahia kufundishwa.
 
Hiyo safi sana, kwa nini hizi pikipiki na baiskeli zije sasa hivi wakati mahitaji yalikuwepo tokea 2005 ina maana leo hii ndo wameona umuhimu wa kuwapelekea!
 
yani hapo ni ngoma droo mwizi kaiba na yy kaibiwa yani mpaka raha ndo mana atakushitaki awezi
 
Kwa wanaosoma kile kitabu chetu yesu alisema

na mataifa watakuja na kukutumikia nashukur mungu yanaanzia dunian haya mambo mliochukua ni haki yenu hawa wameandikwa tangu aganao la kale.....hili linakukumbusha kila kitu malipo dunian so usidanganyike kutbu ahera loh!!!!!
Utakutana nao hawa baada ya kifo hukumu...tumeelewa jamani ile sinyorita zinazosomwa na wah kutupa moyo tu shuguli inaisha hapa hapa ....so kama na wewe ujaibiwa akuna kuibiwa baada ya kufa unatuc=achia sisi tuendeleze ama kula mali zako
 
WACHA AIBIWE BANDUGU. hAJALIPA MSHAHARA WAFANYAKAZI ANAENDA KUNUNUA PIKIPIKI KIBAO, BAISKELI, T SHIRTS, NK. wAFANYAKAZI WANAPIGA MUAYO MISHAHARA MWEZI WA PILI WAMEANZA WA TATU BADO KULIPWA, WAKUU WA KAMPUNI WAHINDI ALIWAWEKA HAWAJALI NA JAWANA HABARI SABABU WAO WANALIPWA MAPESA KIBAO HATA MSHAHARA UCHELEWE VIPI HAWAATHIRIKI ACHILIA MBARI MABAO WANAYOPIGA.

WAANDISHI MUACHE KUANDIKA UOZO NA STORI ZA KAMPUNI NYINGINE WAKATI OFISINI KWENU KUNA STORI.ANDIKENI MAKALA NI JINSI GANI WAFANYAKAZI WANAISHI BILA MSHAHARA. HII NI RAI KWA MANYERERE J, MUHINGO R, BALILE D, MAKENE B. YOUR FELOOW TANZANIANS ARE SUFFERING NA MMEKAA KIMYA AU KWA SABABU MNAPEWA MSHAHARA MWINGINE CASPIAN?

ROSTAM: - SIKIA KILIO CHA WAFANYAKAZI AU KAMA UONGO UMEWALIPA KANUSHA.
 
Nice job enyi wevi...Kwibeni vitu kama hivi bana, ambavyo havina hasara kwa mtu yeyote!
 
Kwanza MAMA MIA hongera kwa kubadilisha Avatar.. Hapo nakupa BIG UP kwa sana..
Halafu huyo jamaa acha aibiwe hata wakimwiba na yeye, sawa tu!
 

Ahhahahahaaaaaaaaaaaaaaa saaaaaaaaaafi sanaaaaaaaaaaaa.Wao walichukua mapema na waungwana nao wamechukua hicho kidogo.CCM Oyeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…