unaposema ujinga what u mean? Usiwe na jazba, atoke ajibu kama wanamsingizia
ndio hapo sasa. Huyu ndio kazi yake kulia lia, mara o wanamwaga pesa jimboni kwangu mara o wanataka waniuwe, acha tabia ya kujizushia mambo kutafuta huruma za wananchi, kama unaushahidi c upeleke mahakamani au muwahi yeye kabla haja kuwahi, MWAKYEMBE ACHA KULIALIA
Pamoja na uchanga wako kwenye JF lakini umenena kitu ambacho wengi humu wamekuwa waoga kukizungumzia. Huyu bwana ana bahati kwamba yuko Tanzania na ndiyo maana anaweza kuongea maneno ya kejeli na dharau iliyopitiliza kama anavyofanya sasa. Lakini kila mwizi ana arobaini zake na yeye asubiri zake zitafika tu! Asijione mjanja!