Elections 2010 Rostam amvaa Dr. Slaa lakini utetezi wake wamweka pabaya


Inaonyesha ulikuwa unapanick ulpoandika hii post
 

Tatizo watu wa CCM hawawezi kufanya kitu bila kutia magumashi
 

NO LOGIC, NO REASONING!!! Pole
 

Crap
 

hivi wanahangaika nini, kama dr slaa ni mzushi ilitakiwa waziri wa mambo ya ndani mhe lawrence masha ambaye ndiye mgombea wa jimbo la nyamagana na vyombo vya dola vikiwa chini yake aagize vyombo vya dola kuchunguza uhalali wa barua hiyo. Lakini kutokea ilipotoka wakati wa kampeni wamekaa kimya na sasa wanaleta blah blah kibao.
 

Kama huelewi maandiko ya Biblia kaa kimya............,
 

Sikutengemea kama ungeandika pumba namna hii

Toa uzibitisho wa hili
 
Kinana anafikiri akisema Kikwete alikua wapi sijui Nachingwea na akionyesha article ya gazeti la Tanzania Daima kuprove limesema Kikwete alikua huko basi atakua ameipangua hio barua. Alikosea tu aliposema hatuendi mahakamani. Wengine tukajiuliza WHY?????? Kinana you are trying to be smart but not being clever! 2010 HATUDANGANYIKI!!!!! Teleconference and Videoconference zipo!!!! Na ndio hizo hao wanaokataa hawakuwepo walizitumia kuwepo kwenye huo mkutano.
 

Mkuu Gembe ndiyo maana nimekuwa curious kufahamu ni namna gani hao wahudhuriaji wa huo mkutano walikuwa. Mimi mwenyewe nnaattend meeting huko Chile almost twice in a week lakini hata sijawahi kufika huko. Kampuni nnayofanyia kazi imeinvest hela nyingi katika mradi flani huko.

Ukisoma zile minutes wahudhuriaji tunatajwa. Ofcourse inapokuwa in my case kuna mabano mbele (Video/Tel. Conf.). Sasa ushiriki wa raisi unaweza pia kuwa namna hiyo although kwa bongo lolote linawezekana pia!
 
Huo ushaidi wataupeleka mahakamani.
Ivi SA kuja Tz does it take the whole day?
 

Wewe unaongea utumbo! Nani kakuambia mkwere ana akili mpaka asiweze kufanya hivyo? Halafu ulivyo mpuuzi, Rostam ataingiaje na kutoka South Africa bila passport kuwa na mihuri ya kuonyesha kaingia na kutoka lini? Tatizo sio lako ni kwamba hujawahi kusafiri kwa ndege kwenda nje ya nchi na utaratibu hujui? Na hayo madai yako 1 & 2 ni hisia zako ndio zinakutuma hivyo.
 

Gembe unamzungumzia Raisi gani?Kikwete au??kamani Kikwete basi anawezakufanya kitu kama hicho..ndio maana akawa Raisi tofauti kuliko Raisi yeyote yule Duniani..
 
Let's wait n see. No doubt, freedom is coming this year n not 2015.
 
mnacheza na mafisadi! hadi mhuri wa immigration anaenda kuupata kwa amri yake! duh....kweli tumeisha!!
 
Unakuwaje na uhakika kuwa Rostam alikuwa RSA wakati passport yake haionyeshi stamp ya kuingia wala kutoka Republic of South Africa? Labda unaweza kutuelimisha katika hili maana unaonekana unajua mambo mengi, inawezekana watu wanaopitia VIP lounges hawafuati utaratibu tunaofuata sisi walalahoi. Mimi sijawahi kuona wala kusikia mtu anasafiri anaingia territory nyingine legally bila passport yake kuwekwa Stamp ya kuonyesha kuingia na kutoka kwake, hii ndio mara ya kwanza!
 

Mbona ameshaonyesha kuwa mjinga hata zaidi ya hapo. Hata wataalamu wake nao kuna mahala watakosea na ukweli utajulikana tu. Usidhani ni CCM tu ina secret service.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…