Rostam ajivua Gamba mwenyewe.

Rostam ajivua Gamba mwenyewe.

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
861
Reaction score
159
Rostam ameamua kuliacha wazi jimbo la igunga,na pia kujitoa katika baraza kuu ka NEC.Mpaka sasa Igunga hawana mbunge.
 
Sasa namshauri aende mahakamani kukanusha shutuma zote alizotuhumiwa vinginevyo itakuwa usanii?
 
sio kwamba yeye alikuwa ndiye gamba? sasa mbona sielewi pale gambalinapojivua gamba!!? tueleweshane wana jf
 
safi sana ila itakuwa vzur zaid achukuliwe hatua asiishie hapo mana haitosh na hcho co kigezo
 
ni kweli kajivua gamba lakini fedha zetu je? hii ni sawa na mtu aliye funika kinyes bila kukizoa tunategemea zaidi ya kujuvua gamba
 
Back
Top Bottom