Rostam Aziz ameziandikia bank za CRDB na NMB ya kutaka kufunga account zake na kutaka kuhamisha fedha hizo katika nchi ya Malaysia, tukio hili lilifanya mameneja wa bank hizo kuomba muda wa kupitia na uhamuzi huo kabla ya kuruhusu kufungwa kwa akaunt hizo, kwani kutokana na kiasi kilichomo ndani ya akaunti hizo ni lazima wapate kibali ya kufunga na kuhamisha kutoka BOT.
Lakini wachambuzi wa mambo wanaliona ni tukio la bwana Rostam kuondoka nchini na kuelekea malaysia, hivyo basi kama Tanzania kuna chochote cha kumuuliza au tunataka kufahamu kutoka kwake ndio wakati muafaka sasa la sivyo zile tuhuma za wizi wa fedha za EPA kupitia Kagoda ndio ushahidi wake unapotea hivyo
Kutokana na Sheria mpya ya BOT ambayo inamtaka kila Mteja aweze kuwasilisha details zake na mapato yake kwa mwaka kupitia Benki yake, ambayo kwayo, ni rahisi kugundua fedha chafu, jamaa ameona ndio mwanzo wa kuumbuka.
Na hii issue jamaa ameiona iko likely ku-cease some people's accounts, jamaa ameshastuliwa na vibaraka wake ili asepe mapema kuogopa kufungiwa pesa zake alizotuibia.
Rostam Aziz ameziandikia bank za CRDB na NMB ya kutaka kufunga account zake na kutaka kuhamisha fedha hizo katika nchi ya Malaysia, tukio hili lilifanya mameneja wa bank hizo kuomba muda wa kupitia na uhamuzi huo kabla ya kuruhusu kufungwa kwa akaunt hizo, kwani kutokana na kiasi kilichomo ndani ya akaunti hizo ni lazima wapate kibali ya kufunga na kuhamisha kutoka BOT.
Lakini wachambuzi wa mambo wanaliona ni tukio la bwana Rostam kuondoka nchini na kuelekea malaysia, hivyo basi kama Tanzania kuna chochote cha kumuuliza au tunataka kufahamu kutoka kwake ndio wakati muafaka sasa la sivyo zile tuhuma za wizi wa fedha za EPA kupitia Kagoda ndio ushahidi wake unapotea hivyo
Rostam Aziz ameziandikia bank za CRDB na NMB ya kutaka kufunga account zake na kutaka kuhamisha fedha hizo katika nchi ya Malaysia, tukio hili lilifanya mameneja wa bank hizo kuomba muda wa kupitia na uhamuzi huo kabla ya kuruhusu kufungwa kwa akaunt hizo, kwani kutokana na kiasi kilichomo ndani ya akaunti hizo ni lazima wapate kibali ya kufunga na kuhamisha kutoka BOT.
Lakini wachambuzi wa mambo wanaliona ni tukio la bwana Rostam kuondoka nchini na kuelekea malaysia, hivyo basi kama Tanzania kuna chochote cha kumuuliza au tunataka kufahamu kutoka kwake ndio wakati muafaka sasa la sivyo zile tuhuma za wizi wa fedha za EPA kupitia Kagoda ndio ushahidi wake unapotea hivyo
Rostam Aziz ameziandikia bank za CRDB na NMB ya kutaka kufunga account zake na kutaka kuhamisha fedha hizo katika nchi ya Malaysia, tukio hili lilifanya mameneja wa bank hizo kuomba muda wa kupitia na uhamuzi huo kabla ya kuruhusu kufungwa kwa akaunt hizo, kwani kutokana na kiasi kilichomo ndani ya akaunti hizo ni lazima wapate kibali ya kufunga na kuhamisha kutoka BOT.
Lakini wachambuzi wa mambo wanaliona ni tukio la bwana Rostam kuondoka nchini na kuelekea malaysia, hivyo basi kama Tanzania kuna chochote cha kumuuliza au tunataka kufahamu kutoka kwake ndio wakati muafaka sasa la sivyo zile tuhuma za wizi wa fedha za EPA kupitia Kagoda ndio ushahidi wake unapotea hivyo
Ataondoka tu rais alisema atamrejesha balali pindi atakapohitajika kama atakuwa na tuhuma za kujibu yuko wapi leo hii?kwa hali ya nchi kama tanzania ni vigumu mno kumshupalia mtu type ya rostam. He is dirt. In our eyes but also too smart to our leaders heart,he is then a prominent breadwinner for the lustfull leaders souls. Tulia rostam no one can ever cast a stone for no one is that clean among those who are in the system nor their minor citizenHarusiwi kutoka hapa Tanzania?