Rostam ajipanga kuikimbia Tanzania; kutimkia Malaysia

​Tumeshindwa vita ya kumzuia mtu huyu kuondoka na mali zetu na badala yake ameshaondoka na nusu ya mali zake na sasa yupo nchini uingereza.

Imekuwaje tena? BOT, TAKUKURU, TISS, na hata Mwema wameshindwa au wameamua kukaa kimya?
 
Aondoke. Lakini laiti tungelikuwa na Rais "Msafi" angelimtia hatiani mtu huyu, mali zake zingelikamatwa na kunadiwa kabla ya kutokomea Malaysia. Maskini Tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

si mpaka awepo!
 
Kazi ipo mbona....but the guy is always ahead of the game. Mwenye mach haambiwi ona
 
Back
Top Bottom