Mods. naomba kuuliza, ni kwamba hamtaki kuniona na Rose wangu au ndiyo mmenipiga Ban kabisa. Siioni post yangu iliyoniwezesha kuniunganisha na Rose wangu tena na pia kuna post nimeituma leo inahusu article fulani ya Mastebation na pornography athari zake. ZOTE MBILI SIZIONI, NAOMBA KUJUA KAMA NDIYO BAN AU LAH. Peace.