PreGE2025 Rose Ndauka: Kuna siku nitatamani kupiga kura ila kwasasa... kwa yanayoendelea ningekuwa kiongozi wa Sekta inayolalamikiwa sana ningejiuzulu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Wakuu, naona Rose Ndauka amejitenga na uchawa tofauti na wasanii wenzake, kwakweli tunahitaji wasanii wa aina hii Cc Waufukweni

Kupitia Instagram page yake ameandika:

"Kwa yanayoendelea ningekuwa kiongozi wa Sekta husika ambayo watu wanailalamikia sana kama nimeshindwa kuboresha basi ningejiuzulu........

Ila pia kuna siku nilisema kusiwe na uchanguzi ili kusave hela nilisemwa sana mpaka nikashusha post yangu ila nilimaanisha uchanguzi uwe huru na wagombea wote waridhike kuweza kupata viongozi wananchi tunaowataka......

Kuna siku nitatamani kupiga kura ila kwasasa.......#MunguNilindeMiminaFamiliayang u msiojulikane mkae mbali na mimi"

 
Majizi ya kura hawawezi kukuelewa wamejipanga kwenye hilo kwa muda mrefu
 
Huu ni ukweli ambao kila mwenye akili kidogo tu hata za kuvukia barabara anaujua. Tatizo lipo kwenye kuusema hadharani, hata huko CCM wanajua na kuona haya ila kwa kuwa ukisema unaonekana msaliti na mbaya zaidi watakupoteza aidha kwa kuvuliwa cheo/uanachama au kuuliwa kabisa, basi inabidi bora liende tu.

Mwisho wa siku anguko laja na li karibu.
 
Wapo wapumbavu wanataka kumpigia kura mjalana samia bushiri .
 
Huyu ni nani? Mnaokota hata ya watu wenye matatizo ya akili mnaposti. Wafuasi wa Braza K Mapovu mmeishiwa hoja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…