em mwenye namba ya hutu dada anisaidie. nimejarib kuziba hisia zangu najidanganya nampenda rose ndauka mpaka nakufwaz wanasema age is just a number waungwana nisaidieni jinsi ya kumpata huyu dada nitoe dukuduku langu la siku nyingi asanteni
Dunia imebadilika sasa hivi mambo hayo yakuomba # huku hayapo nenda insta kama unatumia mtafute insta direct ndo watu wanavyopata watoto wa geti kwa style hiyo ila utamuweza?