Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 221
- 659
Wakuu kwenye pita pita zangu nimekutana na post za msanii Rose Ndauka, ambapo ameweka wazi kuwa yeye hana chama, lakini pia yupo kwaajili ya kutetea Watanzania. Kwa wasanii wa kike Rose Ndauka amekuwa wa kwanza kusimama na wananchi na kuonesha wazi kutofumbia macho udhalimu unaofanywa.
Rose ameonesha kuwa msanii bila uchawa inawezekana, anaweza kuendelea kufanya kazi yake na kukemea pale anapoona mambo hayaendi vizuri sababu ana platform ya kufanya hivyo.
Huyu, Nay na wasanii wengine ambao wanajali kweli maslahi ya nchi hii wanatakiwa kuwa mfano wa kuwarudisha wa wasanii chawa kwenye msatari, tuendelee kuacha kuwasapoti wakose umaarufu wao hadi vichwa viwakae sawa.
Hizi hapa baadhi ya post za Ndauka...

ukiwa chawa ni lazima akili zipungue kidogo? Wapi imeandikwa ako na chama?