Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 221
- 659
- Thread starter
- #21
Kweli kabisa!Rose huwa ana akili zake hata kwenye maisha ya kawaida. Ukisimama kwenye haki, unatengeneza mazingira mazuri kwa watoto na wajukuu zako.
Ukisimama na wauaji, iko siku watoto au wewe kufanyiwa wanaofanyiwa wengine. Usiseme hayo hayanihusu, shetani huwa hana rafiki. Hongera sana Rose mwanamke wa shoka, kusimama na kile unachoamini.

ukiwa chawa ni lazima akili zipungue kidogo? Wapi imeandikwa ako na chama