Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Hana jipyaBaada ya kuugua muda mrefu na kuona biashara ya injili hailipi tena.
Yuko sawa amechanga vema karata zake kiukabili ukata uliokuwa umepiga kambi kwake.
Swali: katoka chama kipi?
Kwani alikuwaga chama gani kabla?
Injili ilishamshinda mara tu alipoanza UmalayaView attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
SOURCE: UKOMBOZ BLOG
Kwani anamzidi Kingunge N Mwilu?Huyu ni bibi kwa sasa hana mvuto wowote
Ha haaaaa. .... kweli nyimbo za dini na siasa.... ni ma opportunist tu hawa....Siyo dini na siasa bali ni nyimbo na siasa kwani kuna dini hapo..!!
What is so special with her Mimi nikijiunga mta nitambua ?View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
SOURCE: UKOMBOZ BLOG
huyu si alishaanzishiwaga uzi anapiga unga ma sitasahau alipomsifiaga Ali kiba kama kwahio sishangai na alishausishwa na dini ushetani
Kwani katoka chama gani?View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
SOURCE: UKOMBOZ BLOG
Anajipunguzia wasikilizaji wa nyimbo zake kwa wasiopenda kuchanganya siasa na injili.Si yeye tu wapo na wenzake waimba inijili wanaotamani sana kuwa wanasiasa.Huenda wameona wajiingize siasani kwa kutumia umaarufu wao ili siku wakichoka kuimba injili siasa iwabebe.View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
SOURCE: UKOMBOZ BLOG
ana washabiki wengiKuna vitu vingine vya ajabu huyu naye ana impact gani huko sisiem,hadi akijiunga iwe habari.
haswaaaaWanajiingiza mpaka viongozi wa makanisa
Nafasi hiyo ishajazwa na Babu Seya na mwanae Papii Kocha, walioachiliwa hivi karibuni kwa "special mission"Kumendea kuingia ToT
Kweshney!!! kwa mara nyingine ajipotezea washabiki wasiopenda siasa na injiliTangu nilipoona thread hii marufuku nyimbo za huyu ngadalist nyumbani kwangu nyambafu.
Aingie tu huko TOTOh basi sawa ngoja tukae mkao mpya wa kusikiliza remix ya 'sisiem mbele kwa mbele'
hao tena? unauliza ... wa mbuzi huku umeshika mkia!!!!Mzee wa upako,na pengo hawapo?