Toka awe teja wa ngada naona na muziki wake nao umepotea. Bora akimbilie tu CCM ili kuchukua mikoba ya Komba.
Natabiri tu, Rose Mhando kuja kuchumbiwa na Chid Benz.
AMEENDA INAPOPATIKANA GREASE, TUENDAKO ITAKUWA AMRI KUWA NA KADI YA CCM NA KUNA HATARI HATA WALE JAMAA ZETU WAKIKUKAMATA KAMA HUNA HIYO KADI IMEKULA KWAKO.
HILO HALITOTANGAZWA BALI MATENDO YATAONYESHA NA DUNIA HAITOJUA...

Na usipokuwa na kadi yao tegemea kusumbuliwa sana na takukuru, na kesi kuwa sio raia, hii ndo tz yetu iliyobarikiw maajabu ya kila Namna, bt all in all ukitenda jema litazaa tuu, na ukitenda baya pia litazaa tuu, it's a matter of time.
View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.