Gor
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,791
- 847
Jamani kuna michango ya kudhalilisha utu huku Rorya,wenyeviti wa vijiji na watendaji wa kata,madiwani na mbuge wa ccm wanachukua fedha za halmashauri kifisadi hasa fedha za ukimwi na maendeleo kisha wanaitisha michango ya kuja kuwachangisha wananchi.
Nawashauri wananchi kataeni kwa nguvu kuchangia fedha upumbavu huo.Wanakula fedha za halmashauri kama mchwa!.
Nawashauri chagueni vyama vya upinzani ili mjikomboe na udhalilishaji huo.Hakuna maendeleo maana huku ujaluoni familia nyingi ni maskini wa kupindukia pia nawashauri ndugu zangu rushwa ya "gonytienda" kwa kiswahili nifungue mguu ambayo Airo anatoa au mnayoidai kutoka kwake inadhalilisha utu wetu na heshima yetu kama watu wa Rorya.