'Roporopo' alivyonifukulia kaburi langu. Tuliachana ila kumbe alinisaliti pakubwa

funluverx

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
480
342
Takriban miaka 5 iliyopita tulikuwa na uhusiano flani amazing ila ikatokea yakutokea tukaamua Kila mmoja wetu kushika hamsini zake.

'ROPOROPO' MFUKUA MAKABURI:

Nikiwa katika Shughuli zangu za Kila siku. Nakutana na Mteja mmoja. Mama wa makamo nilimfuata Ofisini kwake kupata huduma. Ana Ofisi binafsi licha ya kwamba ni Muajiriwa/Wakili wa Serikali.

Mama huyu (Namuita Roporopo) anaongea sana-ka' mwanaharakati wa Upinzani aliewekewa pingamizi, Basi ikatokea tume-click vyema Story zikawa Mobb hadi kunieleza kuwa awali alikuwa Ofisi Fulani maarufu hapa Dar baada ya kutaja Ile Ofisi.

Na muda aliokuwepo pale nikakumbuka X wangu ndipo alipokuwa anafanya Kazi lakini yeye X ni Mtaalam wa Computer. Nikamuuliza 'ROPOROPO' wangu Juhainah wa IT Dept. yupo? (Sio jina halisi la X wangu),

Nilifunguliwa Dibaji ya Mpenzi wangu wa zamani; Juhaina Sio shoga'angu ni Nyonyo. 'Mtoto' blablah kibao.

Paliponichonyota akaniambia tukio ambalo lilitokea Miezi 6 kabla hatujaachana. Nanukuu, "Unajua tukio la Mchumba wake yule wa kwanza lilimuumiza sana. Walivyopata ajali ujue ni Miezi 2 tu baada ya yeye kutolewa Mahari!?"

Mimi Hee!
Kweli?

Kumbe alitolewa Mahari? Mama (Roporopo) , "Sio Mahari tu, Vikao na Michango ilishapamba moto" Anaendelea mama, Huyu Bwana wake wa sasahivi anamsumbua sana huko Mwanza. Haipiti wiki lazima atanipigia Simu kulalamika.

Nikawaza,
Nakumbuka hilo tukio la ajali. Huyu binti X-wangu. Aliniambia alipata ajali ya Daladala kugongana. Kumbe ni wao na Bwana Ake (Mungu amrehemu) waligongwa kwenye Gari ndogo yake bwana.

Sikulijua hilo siku zote hadi tumeachana. Sasa wakati tunaachana na huyu mama,
Kakurupuka. Siunasema unafahamiana na 'Jojo' (Yaani X wangu) ?

Chukua namba yake hii hapa.

Sasa kutokana na taarifa zile za Usaliti wa Hali ya juu nilijenga chuki za ghafla kumbe nilikuwa mchepuko?

Sasa ni kawa na namba Mpya za X wangu lakini sikumtafuta.

Hee! baada ya siku mbili kumbe yule mama kamtafuta X wangu,

Sijui wameongea nini Ila mwisho amempa namba zangu upya X,
Na binti kunitafuta,

Nikikumbuka kuwa kumbe nilikuwa nafanywa Fala (Thanks to mama Roporopo) baada ya kujuliana Hali namuuliza X wangu;

Are you happy with the marriage? Anajibu. Not at all and I am coming to Dar this leave. Tukumbushie enzii,

Swali,
Nimfanyeje huyu Msaliti?
 
sie wanaume hua wajinga sana, tukishaambiwa "upo pekee tunajiamisha mazima" ndo maana tunapata mshtuko tunapojua tulidanganywa, ke hawana huo upuuzi ndo maana hata ukimsaliti hashtuki sana kivile maana wanatujua vizuri tulivyo walafi.
 
Binadamu kama umeamua kuanzisha mahusiano yasiyo rasimi usimchunguze pigeni shoo mtembee mtafutane kipindi cha nyege, wife au husband material wanapaswa kuchunguzwa kwa kina maana usije uvaa mkenge kosea yote ila sio kuolewa au kua na mtu ambaye si sahihi kwako
 
Hahahahah

Hawa watu Ni noma sana

Kuna mmoja nili fall in love Ni mwambia tukiendele hivi hivi mwakani natangaza ndoa

Sasa juzi Kati akaomba aje kwangu nikamtumia nauli akasema kapata dharura anaenda kwenye msiba sehemu fulani nikasema poa

Kila nikimuuuliza umefikia wapi kwenye msiba anasema ooooh tunazoka kesho .

Sasa machale yakanicheza nikatuma watu wawili wanamjua wamcheki ofisini kwake Kama yupo wakanibia demu yupo nikasema poa

Mimi nokaendela kuchat nae kana kwamba Yuko kwenye msiba il Hali najua aliko

Nimepangia tukio moja hatonisahau

Huwa sipendi mtu anione fala wakati Nina akili nyingi Hadi mwenye najiogopa
 
Unajua mkuu mpaka maamuzi ya kuachana yalifikiwa basi ilikuwa hitimisho la maisha yenu, hivyo basi kama umeamua kumwacha mtu mwache aende jumla na sikutaka kurudia matapishi. Usije ukaokota kokoto chini ya mwembe kisa mtu amekwambia anakuja Dar ukaanza kupanga jinsi utavyoipewa papuchi. Don't turn back again...hebu jiulize ni faida ipi utapata endapo ukaamua kuwa karibu nae this time again?
 
Kinachonikera ni uhusika aliouvaa wakati mimi na umiza kichwa kutengeneza mazingira ya kuachana nae kwa amani.

Mtu analia kila siku tukionana na kwenye simu full usumbufu akiniomba nimueleze yeye nimemuona ana kasoro gani za kunifanya nisimuoe.
Kiasi kwamba ingawa nilishukuru kuachana nae lakini nilikuwa najihisi hatia na kujilaumu Kwa namna Fulani kwa kuwa sikuwa tayari Kuoa.
Kumbuka binti alikuwa mzuri na katulia (alivyokuwa akionekana kwangu)
Graduate mzuri,kazi nzuri tu hana majukumu, Pesa anayo na si mchoyo,
Nampata nikimhitaji wakati wowote tu.
Kumbe kuna Fala kalipishwa hadi Mahari kama si mimi Fala mkubwa kwa upande mwingine.

Wanawake....ni shida kwakweli.
 
umeenda kwa mganga umeagizwa jogoo mwekundu af huna hela unarudi nyumban unamkuta jogoo mwekundu kaingi stoo kwako anakula mahindi yako we unategemea kifuatacho ni nini hapo jiongeze tia bakora za kusimamia ukucha mpaka papuchi iwake moto
 
Takriban miaka 5 iliyopita tulikuwa na uhusiano flani amazing.
Ila ikatokea yakutokea tukaamua Kila mmoja wetu kushika hamsini zake.

'ROPOROPO' MFUKUA MAKABURI:

Nikiwa katika Shughuli zangu za Kila siku,
Nakutana na Mteja mmoja,
Mama wa makamo nilimfuata Ofisini kwake kupata huduma.
Ana Ofisi binafsi licha ya kwamba ni Muajiriwa/Wakili wa Serikali.

Mama huyu (Namuita Roporopo) anaongea sana-ka' mwanaharakati wa Upinzani aliewekewa pingamizi,
Basi,

Ikatokea tume-click vyema Story zikawa Mobb hadi kunieleza kuwa awali alikuwa Ofisi Fulani maarufu hapa Dar baada ya kutaja Ile Ofisi,
Na muda aliokuwepo pale nikakumbuka X wangu ndipo alipokuwa anafanya Kazi lakini yeye X ni Mtaalam wa Computer.
Nikamuuliza 'ROPOROPO' wangu Juhainah wa IT Dept. yupo?
(Sio jina halisi la X wangu),

Nilifunguliwa Dibaji ya Mpenzi wangu wa zamani;
Juhaina Sio shoga'angu ni Nyonyo.
'Mtoto' blablah kibao.

Paliponichonyota akaniambia tukio ambalo lilitokea Miezi 6 kabla hatujaachana.
Nanukuu,
"Unajua tukio la Mchumba wake yule wa kwanza lilimuumiza sana,
Walivyopata ajali ujue ni Miezi 2 tu baada ya yeye kutolewa Mahari!?"

Mimi Hee!
Kweli?

Kumbe alitolewa Mahari?
Mama (Roporopo) ,
"Sio Mahari tu,
Vikao na Michango ilishapamba moto"
Anaendelea mama,
Huyu Bwana wake wa sasahivi anamsumbua sana huko Mwanza,
Haipiti wiki lazima atanipigia Simu kulalamika.

Nikawaza,
Nakumbuka hilo tukio la ajali,
Huyu binti X-wangu,
Aliniambia alipata ajali ya Daladala kugongana,
Kumbe ni wao na Bwana Ake(Mungu amrehemu) waligongwa kwenye Gari ndogo yake bwana.

Sikulijua hilo siku zote hadi tumeachana.

Sasa wakati tunaachana na huyu mama,
Kakurupuka,
Siunasema unafahamiana na 'Jojo' (Yaani X wangu) ?

Chukua namba yake hii hapa.

Sasa kutokana na taarifa zile za Usaliti wa Hali ya juu nilijenga chuki za ghafla kumbe nilikuwa mchepuko?

Sasa ni kawa na namba Mpya za X wangu lakini sikumtafuta.

Hee! baada ya siku mbili kumbe yule mama kamtafuta X wangu,

Sijui wameongea nini Ila mwisho amempa namba zangu upya X,
Na binti kunitafuta,

Nikikumbuka kuwa kumbe nilikuwa nafanywa Fala (Thanks to mama Roporopo) baada ya kujuliana Hali namuuliza X wangu;

Are you happy with the marriage?
Anajibu,
Not at all and I am coming to Dar this leave.
Tukumbushie enzii,
Swali,
Nimfanyeje huyu Msaliti?

WEWE PIGA NYAPO
 
Takriban miaka 5 iliyopita tulikuwa na uhusiano flani amazing ila ikatokea yakutokea tukaamua Kila mmoja wetu kushika hamsini zake.

'ROPOROPO' MFUKUA MAKABURI:

Nikiwa katika Shughuli zangu za Kila siku. Nakutana na Mteja mmoja. Mama wa makamo nilimfuata Ofisini kwake kupata huduma. Ana Ofisi binafsi licha ya kwamba ni Muajiriwa/Wakili wa Serikali.

Mama huyu (Namuita Roporopo) anaongea sana-ka' mwanaharakati wa Upinzani aliewekewa pingamizi, Basi ikatokea tume-click vyema Story zikawa Mobb hadi kunieleza kuwa awali alikuwa Ofisi Fulani maarufu hapa Dar baada ya kutaja Ile Ofisi.

Na muda aliokuwepo pale nikakumbuka X wangu ndipo alipokuwa anafanya Kazi lakini yeye X ni Mtaalam wa Computer. Nikamuuliza 'ROPOROPO' wangu Juhainah wa IT Dept. yupo? (Sio jina halisi la X wangu),

Nilifunguliwa Dibaji ya Mpenzi wangu wa zamani; Juhaina Sio shoga'angu ni Nyonyo. 'Mtoto' blablah kibao.

Paliponichonyota akaniambia tukio ambalo lilitokea Miezi 6 kabla hatujaachana. Nanukuu, "Unajua tukio la Mchumba wake yule wa kwanza lilimuumiza sana. Walivyopata ajali ujue ni Miezi 2 tu baada ya yeye kutolewa Mahari!?"

Mimi Hee!
Kweli?

Kumbe alitolewa Mahari? Mama (Roporopo) , "Sio Mahari tu, Vikao na Michango ilishapamba moto" Anaendelea mama, Huyu Bwana wake wa sasahivi anamsumbua sana huko Mwanza. Haipiti wiki lazima atanipigia Simu kulalamika.

Nikawaza,
Nakumbuka hilo tukio la ajali. Huyu binti X-wangu. Aliniambia alipata ajali ya Daladala kugongana. Kumbe ni wao na Bwana Ake (Mungu amrehemu) waligongwa kwenye Gari ndogo yake bwana.

Sikulijua hilo siku zote hadi tumeachana. Sasa wakati tunaachana na huyu mama,
Kakurupuka. Siunasema unafahamiana na 'Jojo' (Yaani X wangu) ?

Chukua namba yake hii hapa.

Sasa kutokana na taarifa zile za Usaliti wa Hali ya juu nilijenga chuki za ghafla kumbe nilikuwa mchepuko?

Sasa ni kawa na namba Mpya za X wangu lakini sikumtafuta.

Hee! baada ya siku mbili kumbe yule mama kamtafuta X wangu,

Sijui wameongea nini Ila mwisho amempa namba zangu upya X,
Na binti kunitafuta,

Nikikumbuka kuwa kumbe nilikuwa nafanywa Fala (Thanks to mama Roporopo) baada ya kujuliana Hali namuuliza X wangu;

Are you happy with the marriage? Anajibu. Not at all and I am coming to Dar this leave. Tukumbushie enzii,

Swali,
Nimfanyeje huyu Msaliti?
Kwa kuwa umeamua kuchomekea siasa kwenye uzi wako, ngoja na mimi nikupe ladha kidogo.

Rais hapaswi “kutofokea” inatakiwa arudi kwetu kwa upole na heshima atuambie

”ndugu wananchi, mlinipa dhamana ya kuwatumikia, katika KAZI mliyonituma nimefanya kadha wa kadha, kama mmeridhika naombeni mnipe tena ridhaa” sio kama anavyofanya “makasiriko” na “kutufokea”!
 
Back
Top Bottom