Rooting ya simu

Rooting ya simu

kijumbamshale

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
267
Reaction score
88
Hii kitu ni nini na inafanyika vipi? Faida zake ni zipi na hasara zake ni zipi. Kwa wale wataalamu naombeni elimu.
 
Nimeroot simu yangu juzi kati hapa. Rooting ni process ambayo inakupa super-user access kwenye device yako: namaanisha inakupa wewe na apps zako ruksa ya kudeal na hardware za simu directly na pia system directories za simu.
Kwa mfano, ukinunua simu kuna apps znazokuja ambazo kwa kweli huzihitaji, zinakula tu internal memory space na huwezi kuziuninstall. Kwa kuroot simu yako, utaweza kuinstall apps ambazo ztapewa hiyo super user access na kuweza kuzifuta hizo apps.
Faida nyingine za kuroot simu ni:

Kuremove deault apps (factory apps)

Kuinstall apps na kuziset kama system apps ili mtu asiweze kuziuninstall hata kwa factory reset. mfano anti-theft

Kucustomize simu yako mfano kubadilisha boot animation na boot audio (ile picha inayotokea wakat wa kuwasha na kuzima simu na sauti inayokuwa played)

Kucostomize various images na themes za simu yako

Kuweka efficient firewalls

Kufanya screenshot kwa kutumia apps kwa simu ambazo hazina built-in screenshot

Uses nyingine nyingi advanced kutegemeana na apps zako.

Jinsi ya kuroot simu.

Kuna njia nyingi sana za kuroot kutegeneana na android version ya simu, availability ya drivers za simu na uwezo binafsi. Nakushauri ugoogle jinsi ya kuroot simu yako. Mfano kama unatumia HTC ONE, google "how to root HTC ONE".
Mimi ntakuelekeza njia niliyotumia. Nimeroot TECNO P3 na najua hii njia niliyotumia itawafaa watumiaji wa TECNO zote.
Kuna app inayoitwa POOT. Idownload kutoka play store. Then ukiifungua, itakuambia inataka Ministro II. We fuata tu masharti. Ikishamaliza kudownload wenziee, hakikisha kuwa umeiinstall kwenye phone memory, then fungua poot. Tap button ya press here to poot. Italeta mapichapicha ya kihindi lakini details zko hapa.... http://www.baba2023.com/2013/05/root-your-tecno-p3.html?m=1

Risks involved na rooting.
Warning: kama we ni mwoga, achana na hii kitu. Just settle with the basic.

Ukikosea steps in most rooting processes unaweza ukaua simu. Ujanja unahitajika.

Pia, baada ya kuroot simu, probability ya attack ya malware wanaoua system ni kubwa. Hivyo basi, ukishainstall app ya superuser,only grant root access to apps which you are sure of their uses. Unaweza kuua simu in no time!

Mengine uliza.
 
Nimeroot simu yangu juzi kati hapa. Rooting ni process ambayo inakupa super-user access kwenye device yako: namaanisha inakupa wewe na apps zako ruksa ya kudeal na hardware za simu directly na pia system directories za simu.
Kwa mfano, ukinunua simu kuna apps znazokuja ambazo kwa kweli huzihitaji, zinakula tu internal memory space na huwezi kuziuninstall. Kwa kuroot simu yako, utaweza kuinstall apps ambazo ztapewa hiyo super user access na kuweza kuzifuta hizo apps.
Faida nyingine za kuroot simu ni:

Kuremove deault apps (factory apps)

Kuinstall apps na kuziset kama system apps ili mtu asiweze kuziuninstall hata kwa factory reset. mfano anti-theft

Kucustomize simu yako mfano kubadilisha boot animation na boot audio (ile picha inayotokea wakat wa kuwasha na kuzima simu na sauti inayokuwa played)

Kucostomize various images na themes za simu yako

Kuweka efficient firewalls

Kufanya screenshot kwa kutumia apps kwa simu ambazo hazina built-in screenshot

Uses nyingine nyingi advanced kutegemeana na apps zako.

Jinsi ya kuroot simu.

Kuna njia nyingi sana za kuroot kutegeneana na android version ya simu, availability ya drivers za simu na uwezo binafsi. Nakushauri ugoogle jinsi ya kuroot simu yako. Mfano kama unatumia HTC ONE, google "how to root HTC ONE".
Mimi ntakuelekeza njia niliyotumia. Nimeroot TECNO P3 na najua hii njia niliyotumia itawafaa watumiaji wa TECNO zote.
Kuna app inayoitwa POOT. Idownload kutoka play store. Then ukiifungua, itakuambia inataka Ministro II. We fuata tu masharti. Ikishamaliza kudownload wenziee, hakikisha kuwa umeiinstall kwenye phone memory, then fungua poot. Tap button ya press here to poot. Italeta mapichapicha ya kihindi lakini details zko hapa.... Baba 2023 |Android| Tech| Blogging Tips| Social Media| News: Root your Tecno P3, N3 and T3

Risks involved na rooting.
Warning: kama we ni mwoga, achana na hii kitu. Just settle with the basic.

Ukikosea steps in most rooting processes unaweza ukaua simu. Ujanja unahitajika.

Pia, baada ya kuroot simu, probability ya attack ya malware wanaoua system ni kubwa. Hivyo basi, ukishainstall app ya superuser,only grant root access to apps which you are sure of their uses. Unaweza kuua simu in no time!

Mengine uliza.

naomba namba yako ya cm mkuu
 
Hasara kubwa na rooting ni kuwa unaondoa security kwenye simu yako.

Kwa kawaida app za Android zipo restricted kwenye data ipi inaweza kusoma kwenye simu kwa mfano FB app haiwezi kusoma password ya Twitter, ukiipa app root access unaondoa hizo restriction zote.
 
Lakini mkuu, ndio maana ukaambiwa rooting ni for advanced users. Kwanza wewe (user) ndio mwenye uwezo wa kugrant superuser access na lazima app zikuombe hiyo access. Sasa ukiona facebookinaomba root access, jiulize, kwa lipi?? Kwa mantiki gani?? Na kuna ulazima?

Pia si kweli kuhusu wizi wa data za apps kwa sababu most znakua encrypted, labda kama app inayoiba ina decryption algorithm husika. Anyway, kwenye android, apps haziruhusiwi kuaccess data za apps nyingine. Kuna owner na user permissions znazokuwa set kwenye app data. Hata ikiwa rooted, unaweza ukaziona ila kama permissions haziruhusu hutoweza kuziaccess.
Namaanisha, kama owner ni app flani, data zake znakuwa na permission inayomruhusu owner tu aziaccess. Kama ushawahi kuona mambo ya -rwxrw----,google uone!
 
App ikiwa na root access hizo permission za read/write zinakuwa useless, app ambayo inarun with root access ni kama Super User kwenye Linux, super user hayuko restricted na read/write permission zozote, ndo maana ukiwa na root unaweza hata kudelete mafile ya system ya Android.

Pia kuna kujidanganya fulani kwenye kusema advanced user uko safe maana app inaweza ikakwambia inahitaji root kufanya kitu kimoja kumbe inafanya na kingine, obviously facebook hawataaccess password ya twitter, lakini ukiwa unatumia app ya backup ambayo inahitaji root ili kuweza kubackup private data za app obviously utaipa root access lakini ni vigumu sana kutambua kua pia haijaribu kuiba data zengine.

Kwa sababu hii app za banking zinakupa warning ukiwa rooted au zinagoma kufanya kazi kwenye rooted devices maana data zake zinakuwa accessible.

Pia kufanya encryption kwenye device ni ngumu na haisaidii sana maana encryption/decreption key nayo lazima iwepo kwenye app hivyo ni rahisi kwa mtu kuipata.
 
Had to do a bit if reading on Linux and android security model, ni kweli uliyoyaandika Kang, ila sasa kwanza hiyo spyware lazima itakuwa specialized kuiba data za specific app, na for a specific use, au sio!! Ila the fact still sticks, advanced users are on the safe side, na apps znazoiba data za nyingine for malicious use never take very long kuwa disvovered, mifano ipo mingi!

Pia kuna njia nyingine ya wizi wa data kwa kutumia combination ya reading of the framebuffer inayodisplay to the screen na OMR, hii ni sophisticated sana kwa sababu inareproduce the current screen hivyo hata passwords znaweza zikasomwa as you type. One thing, njia hii haina known case study ya data theft, ila ni ideal pale mtu anapotaka kufanya direct attack!
 
Last edited by a moderator:

Risk ni almost zero kama unatumia apps kutoka playstore tu, maana Google wanaziscan constantly app zote zilizo playstore plus wana uwezo wa kudelete app kutoka kwenye simu za watu kama wakigundua ina tatizo. Nilitaka kusema tu kuwa rooting inaondoa some security features.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa windows 8 iko kama os ya windows phone je na hii pia inaweza kuwa rooted?
 
Okay, windows 8 mobile haiko based to the linux kernel kama android, ina windows kernel yake yenyewe. Kwahiyo security levels za hizo OS mbili ni tofauti.

Ila, idea ya rooting can be applied to the windows plarform pia, na advantage ni hizi:

Kupata low-level access to the registry editor na entries ambazo previously hungeweza kuziaccess

Kama android, unrestricted access to file system

Certificate installer na uwezo wa kumodify certificate stores

Access to windows policy editor

Tools znazoweza kutumika ni kama http://www.wp7roottools.com/
 
Back
Top Bottom