Mkuu inabidi ujue maana ya kuroot simu,kama wewe ni mpenzi wa teknolojia lazima utaujua umuhimu wa kuroot.
Smartphone inaweza fanya mengi lakini isipokua rooted inakua limited kama unatumia computer utajua tofaut kati ya administrator na guest user ivo ndivyo ilivyo kwenye sim,ikiwa rooted unakua administrator user isipokua rooted unakua guest user ni kama kumiliki gari afu ukaendeshwa iyo ndo sim isiyo rooted au ukaendesha gari mwenyew iyo ndo kuroot
So kuroot ni kuchukua control ya simu ili kufanya customization na modification vile unavotaka wewe simu iwe na sio kwamba unapata bando la free internet au dakika za kupiga mitandao yote au sms mpaka simu yako iharibike