Babarazack Senior Member Joined Sep 9, 2015 Posts 134 Reaction score 161 Apr 26, 2020 #61 Kuna kipndi niliroot simu baada ya ku unroot google play wakanizuia kudownload appa Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipndi niliroot simu baada ya ku unroot google play wakanizuia kudownload appa Sent using Jamii Forums mobile app
TarimoJr JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 224 Reaction score 130 Apr 27, 2020 #62 Tecno Spark 2 KA7 Mwongozo Wa Kuiroot.
J Jury Senior Member Joined Feb 6, 2018 Posts 196 Reaction score 153 Apr 27, 2020 Thread starter #63 1kush africa said: Ile kingroot sijui? Nimeisahau aiseh Click to expand... kadri android version inavyozidi kupanda ndivyo security inakua tight zaidi hivyo izo apps haziwezi kuwa reliable
1kush africa said: Ile kingroot sijui? Nimeisahau aiseh Click to expand... kadri android version inavyozidi kupanda ndivyo security inakua tight zaidi hivyo izo apps haziwezi kuwa reliable
J Jury Senior Member Joined Feb 6, 2018 Posts 196 Reaction score 153 Apr 27, 2020 Thread starter #64 Babarazack said: Kuna kipndi niliroot simu baada ya ku unroot google play wakanizuia kudownload appa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kuna makosa ulifanya wakati una unroot na nadhani ulitumia app ku unroot,kuna wakati zinabahatisha hazimalizi zoezi zima zinamodify system files kama host file na kusababisha matatizo kama hayo
Babarazack said: Kuna kipndi niliroot simu baada ya ku unroot google play wakanizuia kudownload appa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kuna makosa ulifanya wakati una unroot na nadhani ulitumia app ku unroot,kuna wakati zinabahatisha hazimalizi zoezi zima zinamodify system files kama host file na kusababisha matatizo kama hayo
J Jury Senior Member Joined Feb 6, 2018 Posts 196 Reaction score 153 Apr 27, 2020 Thread starter #65 Emmanuel Jackob said: Tecno Spark 2 KA7 Mwongozo Wa Kuiroot. Click to expand... Maelezo yote yapo mwanzo wa thread
Emmanuel Jackob said: Tecno Spark 2 KA7 Mwongozo Wa Kuiroot. Click to expand... Maelezo yote yapo mwanzo wa thread
Ghiti Milimo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 5,136 Reaction score 7,655 Apr 27, 2020 #66 Jury said: Kuwasiliana na mtaalam moja kwa moja lakin kam mtu anakichwa kizuri anaweza fata procedure na akafanikiwa bila shida Click to expand... Wengine, labda mpaka tupasuliwe kichwa ndio tunaweza kushika MAFUNDISHO!
Jury said: Kuwasiliana na mtaalam moja kwa moja lakin kam mtu anakichwa kizuri anaweza fata procedure na akafanikiwa bila shida Click to expand... Wengine, labda mpaka tupasuliwe kichwa ndio tunaweza kushika MAFUNDISHO!
J Jury Senior Member Joined Feb 6, 2018 Posts 196 Reaction score 153 Apr 27, 2020 Thread starter #67 Ghiti Milimo said: Wengine, labda mpaka tupasuliwe kichwa ndio tunaweza kushika MAFUNDISHO! Click to expand... Hapana ni vile unavyojichukulia Ingekua hivyo ata jf usingeweza kuitumia
Ghiti Milimo said: Wengine, labda mpaka tupasuliwe kichwa ndio tunaweza kushika MAFUNDISHO! Click to expand... Hapana ni vile unavyojichukulia Ingekua hivyo ata jf usingeweza kuitumia
grizzman JF-Expert Member Joined Mar 24, 2015 Posts 225 Reaction score 408 Apr 27, 2020 #68 mtaalam nina s5 inaweza.fika mpka android ngp Sent using Jamii Forums mobile app
Crumpy Crumper JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,348 Reaction score 3,309 Apr 29, 2020 #69 Jury said: Hapana ni vile unavyojichukulia Ingekua hivyo ata jf usingeweza kuitumia Click to expand... Chief nina Galaxy M10 (SM - M105F) nipe muongozo/LInk... nijimalize mwenyewe.. Sent using Jamii Forums mobile app
Jury said: Hapana ni vile unavyojichukulia Ingekua hivyo ata jf usingeweza kuitumia Click to expand... Chief nina Galaxy M10 (SM - M105F) nipe muongozo/LInk... nijimalize mwenyewe.. Sent using Jamii Forums mobile app
J Jury Senior Member Joined Feb 6, 2018 Posts 196 Reaction score 153 Apr 29, 2020 Thread starter #70 grizzman said: mtaalam nina s5 inaweza.fika mpka android ngp Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mpaka latest android version kwa kutumia custom rom kama lineage os na Android 10 aosp
grizzman said: mtaalam nina s5 inaweza.fika mpka android ngp Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mpaka latest android version kwa kutumia custom rom kama lineage os na Android 10 aosp
J Jury Senior Member Joined Feb 6, 2018 Posts 196 Reaction score 153 Apr 29, 2020 Thread starter #71 Crumpy Crumper said: Chief nina Galaxy M10 (SM - M105F) nipe muongozo/LInk... nijimalize mwenyewe.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Root Samsung Galaxy M10 SM-M105F/G/M/Y Pie 9.0 using TWRP and Magisk - Android Infotech
Crumpy Crumper said: Chief nina Galaxy M10 (SM - M105F) nipe muongozo/LInk... nijimalize mwenyewe.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Root Samsung Galaxy M10 SM-M105F/G/M/Y Pie 9.0 using TWRP and Magisk - Android Infotech
J Jury Senior Member Joined Feb 6, 2018 Posts 196 Reaction score 153 Apr 29, 2020 Thread starter #72 Jury said: Root Samsung Galaxy M10 SM-M105F/G/M/Y Pie 9.0 using TWRP and Magisk - Android Infotech Click to expand... Hatua ni zile zile -unlock bootloader -flash twrp kwa kutumiq odin -flash magisk boot img kwa kutumia twrp
Jury said: Root Samsung Galaxy M10 SM-M105F/G/M/Y Pie 9.0 using TWRP and Magisk - Android Infotech Click to expand... Hatua ni zile zile -unlock bootloader -flash twrp kwa kutumiq odin -flash magisk boot img kwa kutumia twrp
Crumpy Crumper JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 2,348 Reaction score 3,309 Apr 29, 2020 #73 Mzee wangu unapatikana wapi, kama vipi nije nikutembelee Sent using Jamii Forums mobile app
grizzman JF-Expert Member Joined Mar 24, 2015 Posts 225 Reaction score 408 Apr 29, 2020 #74 unaweza ni fanyia kwa bei gani Sent using Jamii Forums mobile app
A archicad21 Member Joined Apr 19, 2020 Posts 18 Reaction score 4 May 7, 2020 #75 INFINIX HOT 8 LITE KILA NJIA NINAYOTUMIA IMESHINDIKANA
J Jury Senior Member Joined Feb 6, 2018 Posts 196 Reaction score 153 May 7, 2020 Thread starter #76 grizzman said: unaweza ni fanyia kwa bei gani Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hii ni kwa ajili ya kupeana ujuzi,Fuata izo hatua kwa umakini utafanikiwa
grizzman said: unaweza ni fanyia kwa bei gani Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hii ni kwa ajili ya kupeana ujuzi,Fuata izo hatua kwa umakini utafanikiwa
J Jury Senior Member Joined Feb 6, 2018 Posts 196 Reaction score 153 May 7, 2020 Thread starter #77 Crumpy Crumper said: Mzee wangu unapatikana wapi, kama vipi nije nikutembelee Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nina shughuli zingine Hii hua ni hobby yangu
Crumpy Crumper said: Mzee wangu unapatikana wapi, kama vipi nije nikutembelee Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nina shughuli zingine Hii hua ni hobby yangu
J Jury Senior Member Joined Feb 6, 2018 Posts 196 Reaction score 153 May 7, 2020 Thread starter #78 archicad21 said: INFINIX HOT 8 LITE KILA NJIA NINAYOTUMIA IMESHINDIKANA Click to expand... Umetumia njia zipi? Mtk kwa magisk unateremka nayo
archicad21 said: INFINIX HOT 8 LITE KILA NJIA NINAYOTUMIA IMESHINDIKANA Click to expand... Umetumia njia zipi? Mtk kwa magisk unateremka nayo
Gatete JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 380 Reaction score 407 May 7, 2020 #79 Oppo imegoma kabisa mambo ya rooting Sent using Linux 10.29
J Jury Senior Member Joined Feb 6, 2018 Posts 196 Reaction score 153 May 10, 2020 Thread starter #80 Gatete said: Oppo imegoma kabisa mambo ya rooting Sent using Linux 10.29 Click to expand... Model gani
Gatete said: Oppo imegoma kabisa mambo ya rooting Sent using Linux 10.29 Click to expand... Model gani