Wadau, kuna vyumba-self contained vinapatikana mita 300 kutoka Tumaini University Iringa. Nyumba ina maji, umeme na mlinzi.
Kila chumba kina vitanda 3, double deck na kitanda kingine kimoja kwa kadiri ya mahitaji ya mpangaji.
Anayehitaji apige 0719 055711/ 0768 264320