Self contained rooms for students at UoI [Tumaini Iringa]

Self contained rooms for students at UoI [Tumaini Iringa]

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Posts
2,730
Reaction score
536
Wadau, kwa wale wenye ndugu zao watakaojiunga na Chuo Kikuu cha Iringa [zamani Tumaini University Iringa], kuna vyumba vichache vinapatikana umbali wa mita mia tatu [300 meters] kutoka Chuoni.

Vyumba hivyo ni self contained, Umeme wa Luku, maji na tanki la kuhifadhi maji, Uzio na geti, pamoja na mlinzi.

Kwa mawasiliano zaidi, piga 0787377511/0719055711/0768264320.
 
Ungeweka bei moja kwa moja ingekuwa vizuri sana.Mtu kabla hajakupigia akajipima kwanza uwezo
 
Back
Top Bottom