Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,091
- 165,235
Wateja wote wataamka make yowe la mlevi sio la kawaidaHahahaha au hikiView attachment 3302095
Wateja wote wataamka make yowe la mlevi sio la kawaidaHahahaha au hikiView attachment 3302095
Mh! najua hutaki kukosolewa!..Heading inasema hivi.. Room service took it to next level... Sijui umeelewa!?😎
Kasema yeye kaandika katika muktadha wa kibantu, hivyo huenda akawa sahihi, ikiwa tu ana maanisha "room service" ni any service provided in the room, including housekeeping..Unaniaibisha kaka!
Hujawahi kuandika kitu nikashindwa kuelewa!..Hapana napenda kujifunza na kukosolewa pia.. Nimekuuliza tu kama umeielewa heading😀
🔨📌🙏🏿💪🏿Kasema yeye kaandika katika muktadha wa kibantu, hivyo huenda akawa sahihi, ikiwa tu ana maanisha "room service" ni any service provided in the room, including housekeeping..
But if you're writing professionally or managing hotel operations, it's best to keep the terms separate for clarity.
as
"Room Service" typically refers to food and beverage delivery to the guest’s room.
While
"Housekeeping" refers to cleaning, linen changes, replenishing amenities, and maintaining room hygiene.
limeisha siku nyengine akirudia anakula makwenzi tu...😂Kasema yeye kaandika katika muktadha wa kibantu, hivyo huenda akawa sahihi, ikiwa tu ana maanisha "room service" ni any service provided in the room, including housekeeping..
But if you're writing professionally or managing hotel operations, it's best to keep the terms separate for clarity.
as
"Room Service" typically refers to food and beverage delivery to the guest’s room.
While
"Housekeeping" refers to cleaning, linen changes, replenishing amenities, and maintaining room hygiene.
Unazidi kupuyanga kaka!, hiyo sio keki ni pambo tu hilo!!..😂😂😂 umeiona hiyo picha ina nini na nini? Keki na gazeti...na matandiko.. Uwe makini kusoma picha😂View attachment 3302116
Kuna kitu bado hujaelewa nadhani hapa😂 .. Tafsiri ya took it to next level.. Maana yake ni kujiongeza..😀 hivyo kilichotengenezwa hapo ni imagination.. Ya mtu kapumzika pembeni kuna kisahani cha keki na magazeti😂Unazidi kupuyanga kaka!, hiyo sio keki ni pambo tu hilo!!..
professionally keki huwezi kuweka hapo maana keki nyengine huwa zina yeyuka so unaweza kuchafua hilo shuka so kiumbe kama house keeping hawezi kufanya hicho kitu maana anajua tabu yake, shuka ama taulo likiingia doa inakuwa ni tabu kwake mwenyewe!.
Ndio maana room yoyote ya hotel huwa kuna meza, na pia kuna kuwa na min fridge kama akishindwa kumaliza hiyo keki basi anaweka kwenye fridge au kama ni kubwa sana anaweza kuomba ikahifadhiwa kwenye fridge kubwa!.
kaka nimekuomba tuishie pale ukiendelea utazidi kuniabisha kaka!..😂
Ndio shida yakuanzisha mjadala na artist anaweza kupinduapindua kitu na akakipa tafsiri anavyotaka tena zaidi akijua unaenda kumuumbua ndo kabisa...🤣Kuna kitu bado hujaelewa nadhani hapa😂 .. Tafsiri ya took it to next level.. Maana yake ni kujiongeza..😀 hivyo kilichotengenezwa hapo ni imagination.. Ya mtu kapumzika pembeni kuna kisahani cha keki na magazeti😂
Keki kubwa ya nini sasa kwani kuna birthday!?😂 basi hilo lisikuchanganye ngoja nitumie cookies
😂😂😂 hapo kitandani hiyo picha mfano ya mwanaume aliyevaa pajamas kama ana cookies basi kahawa iko njiani.. Kama ni keki basi na ice cream iko njiani😂Ndio shida yakuanzisha mjadala na artist anaweza kupinduapindua kitu na akakipa tafsiri anavyotaka tena zaidi akijua unaenda kumuumbua ndo kabisa...🤣
tufanye nimeelewa!, lakini cookies mara nyingi huwa served na kahawa ama chai kaka!..😂
umeamua kulazimisha sasa...! ila waambie wambadilishie hizo sandals zimevaliwa vidole mpk vimejichora!..🤣😂😂😂 hapo kitandani hiyo picha mfano ya mwanaume aliyevaa pajamas kama ana cookies basi kahawa iko njiani.. Kama ni keki basi na ice cream iko njiani😂View attachment 3302146
Utaskia, “Chumbani kuna mamba jamani plz nimemuona mwenyewe kwa macho yangu, meneja yuko wapi?”😀😂😂, sasa hapo ndo labda karudi na pisi ya kuokota😛Wateja wote wataamka make yowe la mlevi sio la kawaida