Room Service Took It to the Next Level πŸ’―

Nitakusahihisha!, Hotelini room service tafsiri yake ni tofauti na ulicho kiweka hapo!.

Hiyo uliyoweka hapo sio room service ni House keeping ambayo hufanywa na ma house keeper!.
wao husafisha room nakupamba room kama ulivyoonyesha hizo kazi za sanaa.

Room service hufanywa sanasana na watu kutokea F&B, yaani food and beverage, mteja anaweza kupiga simu aletewe chakula ama kinywaji room!, sasa kile kitendo chakupelekewa room ndo huitwa room service!.

So waambie moderator wabadilishe title kaka.
 
Hapana hivyo vyako unavijua wewe na wazungu wako mimi nimeandika kibantu changu kwa kizungu hivyo niko sahihi😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…