Ronaldo de lima

Ronaldo de lima

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,632
Reaction score
167,501
Nimekuwa ni mshabiki mkubwa wa mchezaji huyu nguli wa soka mzaliwa wa brazil.
Nina kiu haswa ya kufuatilia maendeleo ya huko aliko anakotandaza kabumbu lakini ugumu kwangu umekuwa ni namna ya kupata hizo updates.
Naomba mnisaidie
 
Yani unakaa kizamani zamani sana, hata ukienda wikipedia utapata..so, shida ni nini!??
 
Huyu Bwana sasa hivi anatandika kandanda huko kwao brasil. Hajafulia lakini sio yule wa enzi zile.
 
Nimekuwa ni mshabiki mkubwa wa mchezaji huyu nguli wa soka mzaliwa wa brazil.
Nina kiu haswa ya kufuatilia maendeleo ya huko aliko anakotandaza kabumbu lakini ugumu kwangu umekuwa ni namna ya kupata hizo updates.
Naomba mnisaidie

man Ronaldo hachezi mpira kwa kipindi kisicho fahamika ..alivunjika mguu tena kwa mara ya pili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom