Pesa pesa pesa iheshimiwe, alisema kwake ushindani na kupenda kucheza soka la kiushindani ni muhimu kuliko hizo pesa za waarabu kumbe alishasinya makaratasi kitambo.
Pesa za muhimu waungwana, nilitaka nishangae unaachaje mpunga wote ule na kwa umri huo, hongera kwake kafanya maamuzi sahihi.