Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Sifa tumpe lakini ukweli lazima tuuseme,,, ronaldinho, ametisha sana miaka ya 2002 to 2006 baada ya kuja barcelona na miaka hiyo zidane alikuwa anapotelea ndo anastaafu, ronaldo de lima hakuna kitu anaishia, na del piero ndo kabisaaaa so hata yeye hakuwa na competitors wenye peak,,,
Messi anaelekea mbele golini, hana mambo ya kuuza sura kama dinho timu imefungwa lakini dinho anacheka cheka tu,,, messi mtu wa kazi..
Tukatae tukubali messi yupo juu zaidi ya dinho ndo maana wachambuzi wanamuweka level ya best player of all time..
Messi anawekwa class ya kina pele, maradona...
Wakati ronaldinho anawekwa class ya kina ronaldo original, matheus, na wengineo lakini sio level ya kina pele na maradona
Waandishi wanaomfananisha Nesi na Maradona na Pele ni hao akina Edo Kumwembe.
Huwezi fananishwa na watu hao wakati hujabeba World cup.
Huo ni wendawazimu uliomithirika.
Na hao waandishi waje waandike tu waandike Ilani ya Chama cha Mapinduzi...
Maana ndio wanaloweza.
Mkuu jenga hoja. Mbona unamwandama sana Edo. Acha wivu wa kizamani

bwahaha mkuu nimecheka sana....Ebana hebu nyamazia hapohapo.
Narudia kusema Dinho alishushwa ili kutuonesha soka la Mbinguni linavyochezwa.
Unaposema Messi mtu wa kazi then Gaucho ni Entertainer unachuma dhambi, ndio mana nakwambia nyamazia hapohapo.
Kuna vitu Gaucho kavipata kwa kuvitokea jasho, huyo Nesi wako hajavipata.
Sasa je nani ni mtu wa kazi hapo?
Anaitwa Ronaldo De Assis Morreira almaarufu kama Ronaldinho Dinho Gaucho.
Mtu huyu awapo uwanjani inaaminika Malaika huacha shughuli zao huko mbinguni na kumuangalia.
huwezi kumuweka Messi kwenye level ya kina Pele.Miongoni mwa kitu Pele alichotuachia ,ukitupilia mbali magoli 1000 ni kupiga Tick tack, naomba uniambie Messi ametuachia nini?kama wewe umewahi kucheza mpira Messi kinachomsaidia ni mguu wa kushoto,kwani kumkaba mtu wa aina hiyo ukiwa unatumia mguu wa kulia huwa inasumbua.Lakini kwangu mimi Messi hana uwezo wa kumfikia Dinho.Kama unabisha fuatilia Ligi ya kule kwao, kwani bado anacheza vizuri sana.
Waandishi wanaomfananisha Nesi na Maradona na Pele ni hao akina Edo Kumwembe.
Huwezi fananishwa na watu hao wakati hujabeba World cup.
Huo ni wendawazimu uliomithirika.
Na hao waandishi waje waandike tu waandike Ilani ya Chama cha Mapinduzi...
Maana ndio wanaloweza.
Tik Tak hata Kibunge wa Kibangu Rangers anapiga acha ujinga wako wewe. Pele hamwezi Messi na hampendi kama usivyompenda wewe ndio maana aliamua kumkweza Neymar bila aibu lakini siku Barca walipocheza na Santos, Messi aliudhihirishia ulimwengu kuwa yeye ndiye Messi 'The Little Messiah' kwa kupiga goli 2 na kuchukua tuzo mbili kwenye Klabu Bingwa ya Dunia.
Haya maandiko yenu ni kukerwa kwenu na Messi kunyakua tuzo kila uchao. Pigeni kelele weeeeeeeeee, lkn itabaki ilipo kuwa kwa sasa Messi ndio ana rekodi ya kuchukua tuzo ya mwanasoka Bora wa Dunia mara 4, tena mfululizo.
Sioni kama unamsifia Ronaldinho, bali unamponda Messi. Na inaelekea anakukera kweli kweli, pole sana. Kumuita Nesi ni dalili tosha kuwa unamchukia na kinachokusumbua ni Inferiority Complexion. Unajua kuwa yupo juu na there is nothing you can do about it ndio maana unatoka povu kama mama chiku na sabuni yake ya family detergent.
Wendawazimu uliomithirika ni huo ulionao wewe kukosa haya na akili. Pele hakuchukua World Cup kwa kuwa yeye ni Pele, bali alichukua kwa kuwa alicheza na kina Carlos Alberto, Gilmar, Garincha, Pereira, Riverinho n.k kwa hiyo timu ilikuwa nzuri. Messi kutochukua World Cup hakumnyimi mafanikio binafsi na ndio maana tunapoongea Messi ndio mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya 4 mfululizo na wewe UTAKE USITAKE Messi ataendelea kucheza mpira wake kwa kadiri Mungu atakavyomjalia.
Kushindwa kwa Christian Ronaldo ndio kunawafanya mnalia, basi tu hamtaki kusema. Kama tuzo angepewa Ronaldo naamini kusingekuwa na nyongo inawamwagika leo.
Ikiwa kubeba World Cup ndio ubora unaotazamwa basi kuna wachezaji bora maelfu ambao wanafanana na Pele wako.
Kumchukia Messi ni kujitafutia magonjwa ya moyo. We muite kwa jina lolote unalotaka NESI, MKUNGA, BAA MEDI, MKATA NYASI na vyovyote vile utavyojisikia, lkn still waliomchagua kuwa BORA ni makocha na sio mashabiki njaa.
Kumkataa Messi unayemuona kwa simulizi za Pele unayemsikia ndio wendawazimu uliomithilika
mbona tunatukanana tena?Unaonekana umezaliwa kipindi cha kina mesi,kwa hiyo wewe ni kama kipofu alieona tembo.Nimekwambia Pele ndiye aliyegundua kupiga Tick Tack sasa niambie huyo Messi wako kagundua nini?Usiongee kama vile umetoka kuanguka kwenye mti.
kwa akili yako unaweza kusema haruna moshi ni bora kuliko hamis gaga......Tik Tak hata Kibunge wa Kibangu Rangers anapiga acha ujinga wako wewe. Pele hamwezi Messi na hampendi kama usivyompenda wewe ndio maana aliamua kumkweza Neymar bila aibu lakini siku Barca walipocheza na Santos, Messi aliudhihirishia ulimwengu kuwa yeye ndiye Messi 'The Little Messiah' kwa kupiga goli 2 na kuchukua tuzo mbili kwenye Klabu Bingwa ya Dunia.
Haya maandiko yenu ni kukerwa kwenu na Messi kunyakua tuzo kila uchao. Pigeni kelele weeeeeeeeee, lkn itabaki ilipo kuwa kwa sasa Messi ndio ana rekodi ya kuchukua tuzo ya mwanasoka Bora wa Dunia mara 4, tena mfululizo.
Anti-Messi Campaigns na mtashindwa.
Si sisi tu tuliowahi kumuona Gaucho na sasa tunamuona Messi, bali hata wenye timu yao ambao naamini wanafanya professional analysis wanamtamka Lionel Messi kama All Time Best Player wa Barcelona.
Kama Dinho alimpiga mtu chenga kwa maudhi basi Messi humfunga kipa kwa kejeli. Mimi huwa nawatambua walioumizwa na Messi kwa namna yao ya kuwasifia wachezaji wengine dhidi ya Messi.
Kwa taarifa yako, kama unamtafuta mtu wa kumshusha Messi kiwango, basi mtaje Ronaldo de Lima (The Phenomenon Boy) na sio Ronaldinho.
Najua kinachowakera ni hizi rekodi za Messi ambazo anaziweka na kuzishindilia kiasi mnakata tamaa kama atatokea mtu mwingine wa kuzivunja. Majuzi mlikuja na Mzambia anayechezea mchangani leo mko na Ronaldinho. Chenga kitu gani bwana, Okocha na Kanu nao walipiga chenga
Tik Tak hata Kibunge wa Kibangu Rangers anapiga acha ujinga wako wewe. Pele hamwezi Messi na hampendi kama usivyompenda wewe ndio maana aliamua kumkweza Neymar bila aibu lakini siku Barca walipocheza na Santos, Messi aliudhihirishia ulimwengu kuwa yeye ndiye Messi 'The Little Messiah' kwa kupiga goli 2 na kuchukua tuzo mbili kwenye Klabu Bingwa ya Dunia.
Haya maandiko yenu ni kukerwa kwenu na Messi kunyakua tuzo kila uchao. Pigeni kelele weeeeeeeeee, lkn itabaki ilipo kuwa kwa sasa Messi ndio ana rekodi ya kuchukua tuzo ya mwanasoka Bora wa Dunia mara 4, tena mfululizo.
if you talk about ronaldinho ur talking about a player from another planet....
kama wewe umewahi kucheza mpira Messi kinachomsaidia ni mguu wa kushoto,kwani kumkaba mtu wa aina hiyo ukiwa unatumia mguu wa kulia huwa inasumbua.Lakini kwangu mimi Messi hana uwezo wa kumfikia Dinho.Kama unabisha fuatilia Ligi ya kule kwao, kwani bado anacheza vizuri sana.