Romyjones

Lis

Lis

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Messages
498
Likes
264
Points
80
Lis

Lis

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2012
498 264 80
Inakuwaje romyjones amempost wema sepetu then akafuta, ni kwamba simba kamkataza au? Na kama kweli ameambiwa na simba afute. Mbona mama simba hajafuta?
 
I

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Messages
2,605
Likes
1,033
Points
280
I

Islam005

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2008
2,605 1,033 280
Sijaelewa chochote kuhusu huyo simba na mama simba, ngoja niendelee na kazi zangu.
 
mzurimie

mzurimie

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Messages
6,150
Likes
1,619
Points
280
mzurimie

mzurimie

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2011
6,150 1,619 280
Inakuwaje romyjones amempost wema sepetu then akafuta, ni kwamba simba kamkataza au? Na kama kweli ameambiwa na simba afute. Mbona mama simba hajafuta?

Mmmmmmm....sie tutajuaje na hatumo ktk mioyo yao? je kama aliona isilete shida nae akaingizwa kwenye porojo?

Ila jua Wema na Romy huwa bado wanaongea hadi leo. Inajulikana hiyo wakikutana hawanuniani.

Huyo mama Chibu anasahau mwanae kafikaje alipo, ni bora wamuondoe kwenye mitandao, wamtafutie bwana wa kumpa raha...wivu umezidi juu ya mwanae na mkewe.
 
K

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
1,873
Likes
508
Points
180
K

Kidingi

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
1,873 508 180
Mmmmmmm....sie tutajuaje na hatumo ktk mioyo yao? je kama aliona isilete shida nae akaingizwa kwenye porojo?

Ila jua Wema na Romy huwa bado wanaongea hadi leo. Inajulikana hiyo wakikutana hawanuniani.

Huyo mama Chibu anasahau mwanae kafikaje alipo, ni bora wamuondoe kwenye mitandao, wamtafutie bwana wa kumpa raha...wivu umezidi juu ya mwanae na mkewe.
Hii familia ya watu wa Tandale ni sheeda zari atajuta kuwafahamu
Hadi nyi wadau hamjanotice kitu juu ya uhusika wa hamisa kwenye wimbo wa Diamond?

Mi nadhani wanachofanya haina tofauti sana na ilivyotoka lemonade ya Beyonce..
 
samsun

samsun

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Messages
7,434
Likes
5,068
Points
280
samsun

samsun

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2014
7,434 5,068 280
Mmmmmmm....sie tutajuaje na hatumo ktk mioyo yao? je kama aliona isilete shida nae akaingizwa kwenye porojo?

Ila jua Wema na Romy huwa bado wanaongea hadi leo. Inajulikana hiyo wakikutana hawanuniani.

Huyo mama Chibu anasahau mwanae kafikaje alipo, ni bora wamuondoe kwenye mitandao, wamtafutie bwana wa kumpa raha...wivu umezidi juu ya mwanae na mkewe.
Unaweza kunifafanulia humo kwenye mistari, nini kinachoendelea ??
 
mzurimie

mzurimie

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Messages
6,150
Likes
1,619
Points
280
mzurimie

mzurimie

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2011
6,150 1,619 280
Hadi nyi wadau hamjanotice kitu juu ya uhusika wa hamisa kwenye wimbo wa Diamond?

Mi nadhani wanachofanya haina tofauti sana na ilivyotoka lemonade ya Beyonce..
Najua kuna nyimbo. Mie huyo Hamisa hanikuni ni wanasaka pesa...watajiju...mie walionitia kichefuchefu ni mama D na dadake D...
 
mzurimie

mzurimie

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Messages
6,150
Likes
1,619
Points
280
mzurimie

mzurimie

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2011
6,150 1,619 280
Hadi nyi wadau hamjanotice kitu juu ya uhusika wa hamisa kwenye wimbo wa Diamond?

Mi nadhani wanachofanya haina tofauti sana na ilivyotoka lemonade ya Beyonce..
Tujuze basi mengine nakuaminia
 
yomboo

yomboo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2015
Messages
5,410
Likes
3,718
Points
280
yomboo

yomboo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2015
5,410 3,718 280
Inakuwaje romyjones amempost wema sepetu then akafuta, ni kwamba simba kamkataza au? Na kama kweli ameambiwa na simba afute. Mbona mama simba hajafuta?

Simba siku hizi wako hadi huku??

Duh aisee kwani simba ndo nani?
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,115
Likes
39,289
Points
280
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,115 39,289 280
Hadi nyi wadau hamjanotice kitu juu ya uhusika wa hamisa kwenye wimbo wa Diamond?

Mi nadhani wanachofanya haina tofauti sana na ilivyotoka lemonade ya Beyonce..
Mmmh hii familia hapana especially wifi na mkwe, familia zetu za kiswazi ndo zilivo mme akimpenda sana mkewe jiandae kwa makombora ya ma mkwe na wifi
 
M

menad

Member
Joined
Apr 19, 2016
Messages
84
Likes
66
Points
25
M

menad

Member
Joined Apr 19, 2016
84 66 25
kuna pic ya mond na misa wamekaa vit vya kifalme ka nigeria iv na ka vaa kifalme inaonekana walikuwa wanatafuta kik na wameongelewa hswa tusubir iyo video then uyo romyjones kuna tetes kuwa jana alienda statehouse then akatimuliwa na zar kuwa why alimficha kuhusu mond kutoka na misa? ndo story ya leo uko ista
 
Forum statistics

Threads 1,235,772
Members 474,742
Posts 29,234,778