Romyjones

TANGAZO: Natafuta kazi. Yoyote ile ya ulinzi, udereva au kutunza bustani. Nina cheti cha mgambo na kozi ya english. Vile vile naweza kufundisha mbwa. Asante.
 
Amefuta kwasababu hajaambiwa na mtu ampost kwa kwa sababu ile ni personal account,ana deliberate mandate ya kuamua nini apost,afute and abadilishe...la msingi acha kufatilia maisha ya watu

Kwani maana ya Instagram ni nini!
 
Inakuwaje romyjones amempost wema sepetu then akafuta, ni kwamba simba kamkataza au? Na kama kweli ameambiwa na simba afute. Mbona mama simba hajafuta?
Acha umbea fanya kazi
 
Mmmmmmm....sie tutajuaje na hatumo ktk mioyo yao? je kama aliona isilete shida nae akaingizwa kwenye porojo?

Ila jua Wema na Romy huwa bado wanaongea hadi leo. Inajulikana hiyo wakikutana hawanuniani.

Huyo mama Chibu anasahau mwanae kafikaje alipo, ni bora wamuondoe kwenye mitandao, wamtafutie bwana wa kumpa raha...wivu umezidi juu ya mwanae na mkewe.
yani huyu bi mkubwa sijui kwa nn hatulii. Yani kutwa kucha na madrama kwenye social media. Nampenda sana mama ake Lulu, yani kaji keep very away kwenye social media. Huyu mama dai ndo mana vititi vya insta kutwa kumvurumishia mitusi. Hata hajioni kuwa yeye ni mtu mzima anapaswa ku act her age...
 
Yaani mama lulu ni woman of principles mm mwenyewe nampendaga mambo ya mapicha picha na maskendo hanaga mpaka kamfundisha na mwanae
 
diamond karogwa
skuizi hapost kazi

kazi aliyonayo ni kupost kwapa za zari tu

ameboa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom