Rombo: Mwili wa Kijana Godwin Massawe wakutwa msituni ukiwa hautoi harufu. Wakutwa ukiwa na Rozari na Biblia

Poleni! Lakini ni vyema sana kama tutatafuta kulijua kusudi la Mungu juu ya zawadi hii ya Uhai aliyotupa bure!! Tukumbuke pia kuwa Mungu hakuishia kutupa uhai tu,bali pia alitupatia vitu vyote muhimu vitakavyotuwezesha kuutunza na kuustawisha uhai huo kama vile Akili,chakula,mavazi na dawa pia! Na hakuishia hapo tu bali pia alitupa uwezo wa kuzaa na kuongezeka ili kuijaza dunia na kuitiisha!! Akampa baba yetu Adam bustani nna maagizo ya kuwa aitunze(kazi) sasa hivi tukifikiri kwa kina juu ya kusudi la Mungu kwetu tutafikia mahali tukubaliane kuwa Mungu alituumba tu ili tuje kusali,kusoma neno lake,na kufunga kula na kunywa hadi tufe??? Kwamba Mungu atafurahi ikiwa binaadam wote wataifuata njia hiyo ya Godwin ya kutofanya kazi,kutokula wala kunywa hadi kifo kitufike? Je dunia yake aliyotuumbia tuijaze na kuitiisha itastawi kwa mwendo huo?? imani inapaswa kwenda sambamba na uelewa thabiti juu yake!! Vinginevyo tutaishia kufanya mambo ya kumshangaza Mungu tukidhani ndiyo tunamfurahisha!! Godwin amekwepa wajibu muhimu sana kwa Mungu na kwa dunia ya Mungu!! Godwin ameonyesha ubinafsi wa kujitazama yeye tu akiwa mbinguni bila kuwajali ndugu na jamaa zake wengine watakaobaki na majonzi ya kupoteza mpendwa wao! Amemnyima Mungu utukufu na sifa ambazo angeendelea kumpa angelikuwa hai na ndiyo maana biblia inakataza kujiua! Yeye amejiua kwa makusudi! Amefanya dhambi!! Mungu amsamehe!
Mungu hana utaratibu wa kumsamehe mtu asiyeomba msamaha mwenyewe, labda mnipe maandiko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh humu naona kupinga tu. Kwangu mimi namuona shujaa japo mimi ni Muislam. Mungu ampe pepo. Hii ndio mifano ya kuiga. Aliipa mgongo dunia na kuipenda akhera yake (hereafter). Apumzike salama Godwin. I believe hie is in heaven gate smilling.
Kusali kutwa bila kufanya kazi? Kula na kunya unategemea ndugu na vyoo vyao? Dini gani ya kishenzi hiyo?
 
Duh humu naona kupinga tu. Kwangu mimi namuona shujaa japo mimi ni Muislam. Mungu ampe pepo. Hii ndio mifano ya kuiga. Aliipa mgongo dunia na kuipenda akhera yake (hereafter). Apumzike salama Godwin. I believe hie is in heaven gate smilling.

Hata uislamu hausapoti uumini wa hivi maana mtu hutokuwa responsible citizen

Japo hatuna ushahidi wa kitabibu,lakini kuna kila dalili huyo bwana mdogo alikuwa na shida kisaikolojia.
 
Poleni! Lakini ni vyema sana kama tutatafuta kulijua kusudi la Mungu juu ya zawadi hii ya Uhai aliyotupa bure!! Tukumbuke pia kuwa Mungu hakuishia kutupa uhai tu,bali pia alitupatia vitu vyote muhimu vitakavyotuwezesha kuutunza na kuustawisha uhai huo kama vile Akili,chakula,mavazi na dawa pia! Na hakuishia hapo tu bali pia alitupa uwezo wa kuzaa na kuongezeka ili kuijaza dunia na kuitiisha!! Akampa baba yetu Adam bustani nna maagizo ya kuwa aitunze(kazi) sasa hivi tukifikiri kwa kina juu ya kusudi la Mungu kwetu tutafikia mahali tukubaliane kuwa Mungu alituumba tu ili tuje kusali,kusoma neno lake,na kufunga kula na kunywa hadi tufe??? Kwamba Mungu atafurahi ikiwa binaadam wote wataifuata njia hiyo ya Godwin ya kutofanya kazi,kutokula wala kunywa hadi kifo kitufike? Je dunia yake aliyotuumbia tuijaze na kuitiisha itastawi kwa mwendo huo?? imani inapaswa kwenda sambamba na uelewa thabiti juu yake!! Vinginevyo tutaishia kufanya mambo ya kumshangaza Mungu tukidhani ndiyo tunamfurahisha!! Godwin amekwepa wajibu muhimu sana kwa Mungu na kwa dunia ya Mungu!! Godwin ameonyesha ubinafsi wa kujitazama yeye tu akiwa mbinguni bila kuwajali ndugu na jamaa zake wengine watakaobaki na majonzi ya kupoteza mpendwa wao! Amemnyima Mungu utukufu na sifa ambazo angeendelea kumpa angelikuwa hai na ndiyo maana biblia inakataza kujiua! Yeye amejiua kwa makusudi! Amefanya dhambi!! Mungu amsamehe!
Maneno mazuri haya mkuu ....tena mkipatikana watu kumi kama nyie kila mkoa tutapunguza vifo vingi vya kizembe, yaani kuna watu unakuta anaambiwa funga mkanda anajibu simple tu "kama siku zako zimefika zimefika tu" au mwingine anaendesha gari bila tahadhari
 
Data entry kaacha,
Seminary kusomea upadri kaacha,
Kakutwa kaoza,
Nguo kavaa,
Hanuki,
Kashika biblia,
ANASOMA KITABU CHA SIRA???!!!
Yupo mbinguni na watakatifu???!!!

MUANZISHA THREAD MUNGU ANAKUONA!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa waliotuletea dini bahati nzuri wenzetu wanatumia akili zao kufikiri lakini sie huku ndio hivyo tena kama ulivyoona kwa mleta uzi
 
Sijui mabrother walikuwa wanataka kumfanya nini Godwin akaamua kuondoka.
 
Maneno mazuri haya mkuu ....tena mkipatikana watu kumi kama nyie kila mkoa tutapunguza vifo vingi vya kizembe, yaani kuna watu unakuta anaambiwa funga mkanda anajibu simple tu "kama siku zako zimefika zimefika tu" au mwingine anaendesha gari bila tahadhari
Kabisa mkuu!! Tatizo watu wengi hawaupendi uhalisia wa maisha kwa kuwa hauna Guarantee ya kuishi unavyotaka bila kufuata kanuni kadhaa Ngumu!! Sasa ili ku Skip hizo kanuni ngumu ndipo watu hao hupapasa macho huko na huko kuangalia kama wanaweza kupata more for short!! Na wanaishia kwa magic preachers who turns stone into gold (by words)na wanadanganywa kuwa wanaweza kupata wanachokitaka on their dreamy sleep night!! Kwa hiyo they lulled to sleep until too late!!! Sali,funga,soma hadi ufe na moja kwa moja unazama mbinguni!! Is all that simple?? Probably not!
 
Umesahau kuwa t
Hapa kuna shida kidogo kwenye simulizi, mtu kaoza,kabaki mifupa,lakini, kashika kitabu kimefunuliwa na ana nguo zake.

Au ndo miujiza hiyo?
unaishi Tanzania ambako risasi inapigwa juu na kukunja na kuingia kwenye daladala na kumuua Akwilina? Labda inawezekana
 
Mungu anisamehe kama nakosea, lakin mi naona hana tofauti na yule mwanamke aliyeficha Talanta yake aliyopewa na bwana wake kwakuogopa kuipoteza hivyo kuacha kuizalisha kitu ambacho kilimchukiza bwana wake na kumnyanganya Talanta aliyompa,kumtumikia Mungu sio kwa njia yakuwa kanisani nakuomba tu Mungu wako hata kufanya kazi iliyo halali mbele za Mungu nakuisaidia jamii yako ni moja yako pia ni moja ya kumtumikia Mungu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa angenuka vipi na hali amebaki mifupa mitupu, na hiyo sehemu mmesema kuna baridi kali (friji)!
 
Back
Top Bottom