jani
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 926
- 1,151
wakuu...hapa hamna uhakika kwamba dogo alikufa kwaababu ya njaa iliyosababishwa na kufunga......mimi theory yangu hapa ni kuna uwezekano mkubwa tuu akawa aling'Atwa na nyoka mwenye sumu mbaya ndio maana mwili hautoi harufu..baada ya kugundua hilo akaenda zake kwenye gogo kusali apokelewe huko aendapo.....
tuache kwenda kusali "nyikani" haya ni mambo ya kina Eliya
tuache kwenda kusali "nyikani" haya ni mambo ya kina Eliya