Rombo: Kijana amuua Mama yake Mzazi kwa kumkata shingo kisa alimzuia asibomoe nyumba

Haya bana😆. Cha kushangaza humu jamvin hizi mada zenye mrengo hasi kuhusu ukanda wa moshi hazikupiti?

Subiri tu referendum ipite. Tunakukamatia tu kwenye visa.
Kwanza huyo mama ni mjane 😅😅Mumewe yupo wapi?

Kwa nn hutaki kurudi kwenu kama ni pazuri?😅
 
Hapo utakuta hata polisi wanaelewa kadhia ya huyo kijana lakini hawakuchukua hatua mapema.

Kijijini mtu mwenye tabia ya hovyo hufahamika haraka mno kuliko mijini.

Mungu ampokee mja wake
Polisi wasisingiziwe ndugu Huwa mnalimdana sana.
 
Polisi wasisingiziwe ndugu Huwa mnalimdana sana.
Facts with evidence ya vitu kama hivyo.

Kuna mdada alienda polisi kushtaki mumuewe kumtishia kuua. Na huyo mwanaume anakula ndumu balaa. Ni huko huko Lushoto na polisi hawakufanya chochote....

Wanasubiri mtu afanye tukip ndo wacbukie hatua. Hawana mechanism ya kuzuia uhalifu usitokee. Soma ripoti ya Tume ya HakiJinai utaelewa
 
Yeye Kwa nini asiondoke Kwa sababu ulinzi wa kwanza unaanza kwako,unakaa na kichaa harafu unategemea nini?
 
Yeye Kwa nini asiondoke Kwa sababu ulinzi wa kwanza unaanza kwako,unakaa na kichaa harafu unategemea nini?
Sasa hapo polisi hawasingiziwi.

Kazi yao ni nini kwani?
Je na huyo mama ungemshauri aondoke hapo kwake kwanza kujiokoa au ungeshauri polisi wamzuie huyo mhalifu kufikiq malengo yake?
 
Akina mama na nyie msipende kulea Watoto kimayai hasa wa kiume maana walikuwa na maisha yakawagomea wanakata tamaa na kuingia kwenye vitu vya ajabu ajabu mwisho wanakuwa hatari sana Kwa usalama wa wazazi.
Huko huko Klm kuna mwanamke alimuua mama yake na kwenda kumzika shambani,
 
Vijana wengi zama hizi wanafeli mno
Maadili zero yaani akibalehe tu anajiona anajua kila kitu na heshima zinaondoka kabisa
Halafu awe na ajira serikalini sasa ndio kabisa anakuwa @$#%
 
Vijana wengi zama hizi wanafeli mno
Maadili zero yaani akibalehe tu anajiona anajua kila kitu na heshima zinaondoka kabisa
Halafu awe na ajira serikalini sasa ndio kabisa anakuwa @$#%
Watoto sahvi wengi wanasikilizia Mali za urithi ...utafutaji kwa kizaz cha sahv ni mdogo sana

Ova
 
Nasikia baadhi ya wajane wa Kichaga,wamekuwa wajane kwa sababu waliwaua waume zao! Sasa kama huyo mjane alimuua mmewe ni halali yake auawe!
 
Hivi hii bangi ya sasa hivi ina tatizo gani? Mbona wavuta bangi wa zamani walikua na kabusara?

Lakini wavutaji wa Leo bangi imewa bangua kabisa kiasi cha kufanya mambo ya Ajabu kabisa.

Hembu SERIKALI ichunguze hii bangi na sio kuteketeza kwanza mashamba wachukue sampuli wakafanyie uchunguzi maana vijana wameharibika kabisa mtaani.
 
Back
Top Bottom