Rombo: Jipu lingine lamhusisha L. Gama (Mkuu wa mkoa) na mwanae

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
SRC MWANANCHI.CO.TZ
SERIKALI IMENUSA UFISADI MWINGINE HALMASHAURI YA ROMBO

UFISADI HUU UNAHUSISHA ALIEKUWA MKUU WA MKOA L.GAMA NA MWANAE..INASEMEKANA MTOTO WA MKUU WA MKOA ALIPATA MWEKEZAJI WA KICHINA AKAMWOMBA ARDHI BABAKE WAKAFANIKIWA MCHINA AKAPELEKWA MOSHI KUJENGA CEMENT

HATA HIVYO KINACHOCHATIZA N HIVI MWEKEZAJI ALIPEWA ARDHI YA WANANCHI..CHA AJABU ALITOA MIL 500,,MANISPAA WAKAENDA KUWALIPA WANANCHI MIL 265

CHAKUJIULIZA MANISPAA IMEKYWA DALALI TANGU LINI NA MALI ZA WATU..MANSPAA AIMILIKI ILE ARDHI MANISPAA HAINA SHEA NA HIKI KIWANDA CHA MCHINA IWEJE MANISPAA WAKATUMIKA KUPEWA PESA WAWAGAWIE WANANCHI

TANGU LINI WAMEGEUKA MADALALI WA WAWEKEZAJI..WAZIRI HUSIKA AMETUMA TAKUKURU JANA NA JTATU WATAANZA KAZI RASMI AKISUBIRI REPORT ZA UKWELI WAWEZEKUWAADHIBU WALIOHUSIKA NA KUUZA NA KUPOKEA HIZO HELA

HATA HIVYO MH GAMA ANASEMA YYEYE ALILETEWA NA MWANAE HAO WAWEKEZAJI NAKUOMBA KUPATA ARDHI SIJACHUKUA HATA SENTI TANO ILA N KWELI MWANANGU ANA SHARA NA HAO WACHINAA

MNALETA YA MTOTO WA MSTAAFUU EEHEEEEE

DK MAGUFULIII FUKUAA HUU UPUZII IKIWEZEKANA ANGALIENI HATA TRA AWALIPI HAO HATA VIBALI VYAKAZI AWANAAA
 
Gama anajua sana huu mchezo. Na adress itumikayo mkuu wa mkoa, usanii wa tz hizo si ajabu fedha alitumia kwenye kampeni na kushinda. Ahaaa Tz zaidi ya uijuavyo
 
Watu hawala huruma hata wananchi wa kijijini hawana huduma za uhakika kama maji,umeme,zahanati, shule na kadhalika bado unakwenda kuwaibia kidogo wanachotakiwa wapate.
 
CHAKUJIULIZA MANISPAA IMEKYWA DALALI TANGU LINI NA MALI ZA WATU..MANSPAA AIMILIKI ILE ARDHI MANISPAA HAINA SHEA NA HIKI KIWANDA CHA MCHINA IWEJE MANISPAA WAKATUMIKA KUPEWA PESA WAWAGAWIE WANANCHI

Hiyo manispaa ni ya CHADEMA kuanzia meya hadi madiwani.Ni Wakati muafaka kwao kutoa jibu kwenye hilo bila kumsahau mbunge wa CHADEMA wa ROMBO.
 
Sawa tatizo sio wachadema wala ccm. Ni nani yupo nyuma yao kwa masilahi ya nani. Na je waliohami shwa walilipwa stahiki zao kama ilivyotoka kwa wachina mpaka kwa mhusika mkuu?
 
Hiyo manispaa ni ya CHADEMA kuanzia meya hadi madiwani.Ni Wakati muafaka kwao kutoa jibu kwenye hilo bila kumsahau mbunge wa CHADEMA wa ROMBO.


Ila wewe kweli kiazi mbatata yaani rombo ni manispaa duh kweli jf siku hizi imejaa viazi alafu halmashaur ya rombo 2010-2015 haikuwa chini ya chadema kima wewe
 
Back
Top Bottom