Rombo: Amuua mkewe na kisha kujinyonga

Hahaha matatizo yapo pande zote mbili

Sema kwa wenzetu kidogo wamezidi😂

Akishapata kahela,ka ist kagari basi kamaliza

Ova
Yani akishaanza kugongwa tu uchi hupewi, mazonge yanaanza ni vibweka tu kila saa mara kaondoka haagi!
Majibu ya mkato na kejeli yani dah kichapo hakiepukiki!
 
Yani akishaanza kugongwa tu uchi hupewi, mazonge yanaanza ni vibweka tu kila saa mara kaondoka haagi!
Majibu ya mkato na kejeli yani dah kichapo hakiepukiki!
Hahaha

Mwanamke akishapoteza mapenzi,hisia kwako

Hiyo sahau anaweza kukufanyia lolote

Tena kama pembeni kuna mtu anmpa msukumo

Basi kama uko naye inatakiwa akili ya ziada

Ku deal naye

Ova
 
Tatizo kubwa kwrtu Afrika hatupewi elimu ya kujitambua isipokua elimu ya kutumikia.


Hua tunawahi kuyaanza mahusiano ilihali uwezo wa kuhimili hisia za maumivu baaaado. Unakuta mdada au/na mkaka wanaishi kama mume na mke wakiwa na miaka kati 17-24. Hatadumu kwa muda ataenda kwa mwingine mpaka aje kuifikia ndoa ameyaishia maisha ya ndoa kabla ya ndoa kwa muda. Hii ina faida na hasara ila kwa kwetu huku Tz hasara ni kubwa sana tofauti na faida.

Utafiti unaonesha tunawah kuyaingia mahusiano kwa haraka sana kabla akili moyo nafsi havijaridhia kwa pamoja (kwa mujibu wa mwanafalsafa mwanasaikolojia na mwanateolojia mmoja mtanzia).

Mapenzi yana pande mbili Mapenzi yenye hisia za matamanio(yana ababu) na kuna Mapenzi yenye hisia za kweli (haya sababu).
Kuna watu wana miaka minne ya ndoa huu unaenda wa tano ila wanakwambia wanatamani siku zisiende waendelee kuishi pamoja kwa raha wanayopata kwenye ndoa yao.


Mkienda mambo matatu ndoa itadumu
1. Hisia
(mkiwa na upendo wenye lengo sawa pasi na sababu)

2. Mtazamo au mitazamo.
Mkiwa na mitazamo inayolingana kiuchumi kijamii kiimani.

3. Tabia.
Mkiwa na tabia karibu zinazofanana ni rahisi kuchukuliana na kwendana.

Japo sio rahisi ila inawezekana kabisa kumpata wa kwendana nae tatizo ni kiwango cha uvumilivu.
Kuishi na hawa wanawake ni kitu rahisi sana ila ukijijua kwanza wewe.

MWSHO.
Niseme embu tujitajidi kujiwekeza kwetu nikiwa na maana tujitambue sisi yaan wewe kama wewe ujitafakari na kujijua wewe ni nani na unaweza nini. Asilimia kubwa tunayaishi maisha ya watu wengine na siyo maisha yetu na ndio yanatuumiza ila maisha yako wewe kama wewe hayakuumizi hata kidogo.

Kwenye kupenda ingia youtube mtafute Dr. Elie .V.D Waminian utatoka kitofauti sana.
Kama member mmoja huko juu amefikia hatu ya kutaka kumdhuru mwandani wake naamini atajiponya na kuishi maishi yake na sio ya mtu mwingine.
 
Hahaha

Mwanamke akishapoteza mapenzi,hisia kwako

Hiyo sahau anaweza kukufanyia lolote

Tena kama pembeni kuna mtu anmpa msukumo

Basi kama uko naye inatakiwa akili ya ziada

Ku deal naye

Ova
Mwanmke ndio kiumbe kinachoweza kusitisha mahusiano na sio mwanaume.

Mwanamke akisema basi jua kamaanisha na ukimbie kwan ukilazamiaha utaona moto na rangi zake kwa uzuuuri. Ndio maana mwanamme akilazimisha kusitisha mahusiano baada ya muda atarudi kubembeleza ni tofauti na mwanamke.
 
Yan huo ni ujinga wa kiwango cha juu sana, ni kweli mapenz yanauma kupita maelezo lakin it's better mvunje ndoa maumivu yataisha tu..

Mnawaacha watoto ukiwa na uyatima juu..
 
Mwanmke ndio kiumbe kinachoweza kusitisha mahusiano na sio mwanaume.

Mwanamke akisema basi jua kamaanisha na ukimbie kwan ukilazamiaha utaona moto na rangi zake kwa uzuuuri. Ndio maana mwanamme akilazimisha kusitisha mahusiano baada ya muda atarudi kubembeleza ni tofauti na mwanamke.
Kweli kabisa

Ova
 
huyu best mwezi juni tulikuwa tunashauriana jinsi ya kuishi ndani ya ndoa na wenzi wetu, na kwa vile kwa mida hiyo tulikuwa nje ya ndoa tulikuwa tupo free kufanya lolote linalokubalika ndani ya nighty club , lakini ukishaingia nyumbani kwa mke iwe heshima, sijui ni lipi lilimkuta the best? sijui!
 
Back
Top Bottom