Romantic Gift utakayo mpatia mpenzi wako kwa Christmas hii ni ipi? Mimi

nimemfanyia shopping ya kawaida, nikampatia na yeye pia kiasi ili akafanye shopping ya vile apendavyo, zaidi zawadi nitakayompa ni nzito sana siwezi hata kuitamka hapa, hope atatokwa na machozi ya furaha...Gesi what is it?...A Ring? A House? A new car?...what is it?
 
Marry xmas .
vq50c8ea5e.gif
hahaha hiyo minyau nimeipenda buree! zawadi nzur ya kumpa mpenz wangu ntampa BIBLE takatifu ili awe anaenda church!
 
wewe ngoja uombwe talaka ndipo utakapozimia siku hizi unatakiwa kuwa na hawara kama 3 pending mke akizingua unaenda kula tunda la kati nje
 
Nitamwambia sina pesa, nitamtoa out mpaka kibanda cha mama ntilie. Nitamwambia tule mkate na maharage. Nitampatia mkate, pindi akianza kula atapata na mshangao baada ya kuona brand new Toyota camry key ndani ya silesi ya mkate. Hivi ndivyo nimepanga kumfanyia mpenzi wangu.

Wewe?

usisahau kununua bastola
 
Unaota au?wewe mwenyewe una miliki nini? Nakushauri hiyo hela uliyonunulia camry suzuku uza upate uwanja na tofali za kuanzia ujenzi HII SIYO KARNE YA KUWEKEZA KWENYE MAPENZI Muulize mwenzio mushi kilichomkuta
acha wivu wa kike.
 
Hapa nimempa bajeti ya sikukuu atakapoiklia tu lazima niwe naye ziro distansi kwa mashamsham kibao hadi kieleweke.
 
Unaota au?wewe mwenyewe una miliki nini?
Nakushauri hiyo hela uliyonunulia camry suzuku uza upate uwanja na tofali za kuanzia ujenzi
HII SIYO KARNE YA KUWEKEZA KWENYE MAPENZI
Muulize mwenzio mushi kilichomkuta

Khaaaaaa!! Ndo maana mpk mda huu hujanipa zawadi!!!
 
hahaha hiyo minyau nimeipenda buree! zawadi nzur ya kumpa mpenz wangu ntampa BIBLE takatifu ili awe anaenda church!

good tunataka watu kama hawa,embu pokea baraka nying ktk jina la mwokozi wetu kristo yesu.amen
 
Back
Top Bottom