Romantic dance ever

Nimewanyooshea mikono kwa kweli. Hawa wanapendana kiukweli sasa

hahahaa kwahyo kigedho cha hizo kisses ndo umehalalisha kbsss!haaah wamependezea! kupendana kuzuri aisee! na muwe romantick shabashhhhhhhhh
 
Missed u too cuzoo
Natamani tu nirudishe miaka nyuma niolewe upya [emoji4]
Yani hii ningeiona kabla ya Ile siku lazima ningejitahidi niwafunike[emoji38] [emoji38]
bwana harusi kiboko
 
hahahaa kwahyo kigedho cha hizo kisses ndo umehalalisha kbsss!haaah wamependezea! kupendana kuzuri aisee! na muwe romantick shabashhhhhhhhh
Kabisa maana si kwa kisses hizo.
Yani walikuwa na hisia kabisa. Sijui wakiangalia hii video wanajisikiaje[emoji5] [emoji5]
Hebu wanaume wajifunze kwa huyu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Dada akae macho maana wadada wa bongo movies hawatamuacha mume wake salama[emoji23] [emoji23]
 
Kabisa maana si kwa kisses hizo.
Yani walikuwa na hisia kabisa. Sijui wakiangalia hii video wanajisikiaje[emoji5] [emoji5]
Hebu wanaume wajifunze kwa huyu

ahhaa tujifunze wote tu mie naona! ukiwa romantic wewe automatic na men wako atakuwa hvyo! i believe so! wanwake weng tuna aaibuuu lol! kuvua nguo kwenyewe huwa shida... imagn! had ubembelezweeeee weeee mvurugane weeee khaa
 
K haaaa umejua kunichekesha hapo kwenye kuvurugana.
Na kweli Sisi tuna aibu sana. Yani nimeangalia harusi Yao huko YouTube kwa kweli kila mahali wako Romantic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…