Romantic dance ever

kwani ni wakina nani hawa?
Nimewafollow huko insta wako private afu si mastar walaa ila wamevunja rekodi. Mc atafanya tutamani kuolewa upya[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
haahaaahaa..mi ndo mana jana nkaja na kathread kangu mwanaume awe romantic...umeona sasa eeh?
Kabisaaa ni Romantic haswa yani wote wajifunze kwa huyu. Hii ni tafsiri kuwa hawa wamependana kweli. Yani hawaigizi sababu ni harusi wanahisia kweli. Hii ndo tafsiri ya wet kiss[emoji5] [emoji5]
 
URomantic upo wapi hapo.!!
...au kunyonyana midomo ndo uRomantic?

Anyway, nmependa couple yao...mrefu na mfupi such a nice gestures together. It reminds me of my wife
 
Kabisaaa ni Romantic haswa yani wote wajifunze kwa huyu. Hii ni tafsiri kuwa hawa wamependana kweli. Yani hawaigizi sababu ni harusi wanahisia kweli. Hii ndo tafsiri ya wet kiss[emoji5] [emoji5]
mweehh...kweli..sio mapenzi ya kuigiza.
haoo sijui ka bi harusi alipewa mda wa kwenda bafuni kufuta make up alipofungua mlango wa hotel honeymoon[emoji38]
 
mweehh...kweli..sio mapenzi ya kuigiza.
haoo sijui ka bi harusi alipewa mda wa kwenda bafuni kufuta make up alipofungua mlango wa hotel honeymoon[emoji38]
Yani bwana harusi alibaki na lipstick kwenye lips. Yani nimewapenda bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…