AFN Sports2 kupitia powervu enabled receiver ni bure pia dstv nao kuanzia tar 29/8 wataanza ku air live wwe
sikuhizi naangalia kwenye app yaoAFN Sports2 kupitia powervu enabled receiver ni bure pia dstv nao kuanzia tar 29/8 wataanza ku air live wwe
Sent using Jamii Forums mobile app
mmh leo si ndio juma3 wanapiganaga alfajiri?Mechi ya za Leo Samslum. 1. New day wamenyanganywa mkanda na J Ussos,Big Case amempia Big show .2 Jinder Mahol kampiga Shishnke Nakamoa hivo Jinder anaendelea kushikilia mkanda wa Wwe Universal 3.Rolin&Dean Ambarose Wamewapiga Wakina Shemus na kuchukua mikanda ya Tag Championship. AJ STYELE amempiga Kelvin Owen kwenye mechi ilikuwa na Refa special Steven Makman. 4. Watu wanne Samoel Joe,Brock Lesna,Roman Rein na Strow man walikua wanagombania mkanda wa Wwe na Brock lesna akashinda hivo anaendelea kushikilia mkanda huo. Ulikuwa ni mchezo wa kutamausha sana. Lesna alipigwa akabebwa na machela aliporudi mara ya pili ndipo alipokuja kushinda. Sasha pia ameshinda mkanda wa wwe women Championship. Ni hayo tu kwa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ilikuwa Samslum Jumanne ndio kuwa Night raw na Jumatano kuna Smackdown
anhaa nmeelewa nilijua rawHio ilikuwa Samslum Jumanne ndio kuwa Night raw na Jumatano kuna Smackdown
Sent using Jamii Forums mobile app
Joh Cena simfagilii kihivyo, anapigwa sana. John Cena alikuwa wa zamani kipind cha Great Kal, Mark Henry, Tripple H na Randy Orton kipind Shawn Michaels yupo (DX) ila sasa anapigwa mpaka AJ Styles, Nakamura. Hata ukimpangia mechi na Demon (Balor) anapigwa Cena. Randy ni bora kwa sasa kuliko Cena. Uliangalia RKO aliyopigwa Jinja (Mwenye mkanda wa WWE?) ni hatari sana. Ya hivyo alishawahi kupigwa Cena kwnye Table match. Ni noma sanaRoman kamtungua ngumi ,mme wangu wa zamani jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ila wamependeza na John cena
Sent using Jamii Forums mobile app
The beast (Lesnar) alishinda match baada ya kumpiga Roman ReignsJamani wale tunaoangalia marudiocya summerslam fatal4way ndio inaanza
Sent using Jamii Forums mobile app