Jitambulishe kwanza maana haueleweki. Huo uchambuzi wako umeangalia kigezo gani au umelinganisha nini na nini? France,Spain, Switzerland, Italy, Belgium, Netherland mbona hazipo? Na kwa maoni yako wewe unadhali Mexico,Venezuela,Puerto Rico,Brazil ni masikini. Pole sana.
Roman Catholic duniani wapo 1.166 billion, kwa mujibu wa taarifa kutoka Vatican, jambo la kushangaza zaidi zile nchi zenye waumini wengi wa Catholic duniani ndio zinaongoza kuwa na masikini wengi na biashara za madawa ya kulevya na biashara za ukahaba, tuziangalie nchi zenyewe.
Argentina 92%
Brazil 95%
Bolivia 95%
Chile 70%
Colombia 90%
Costa Rica 76%
Cuba 85%
Dominican Republic 95%
Ecuador 95%
Haiti 80%
Honduras 97%
Mexico 77%
Nicaragua 58%
Panama 85%
Paruguay 90%
Malta 98%
Peru 81%
Philppines 81%
Puerto Rico 85%
Timo-leste 98%
Jamaica 65%
Venezuela 96%
Sao Tome and Principe 96%
Latin america peke yake kuna wa Catholic 580,590 Milion, Catholic wanapenda haya mambo au tatizo ni nini.
hizo nchi nilizozitaja ndio zina masikini wengi na biashara za ukahaba na madawa ya kulevya fanya na wewe utafiti kama unapinga hilo