ROMA MKATOLIKI CV!!!! Sio tu Msanii??

Nashukuru Mkuu kwa taarifa, Kama usemayo ni ya ukweli basi huu ndio unaitwa Msimamo usio tikisika kwa namna yeyote ile...nampongeza sana kijana, namtakia mafanikio makubwa zaidi katika kazi na masomo yake.. Hawa ndio wanaharakati wanaohitajika katika hali tuliyonayo hivi sasa hapa nchini
 
pole kama hujapata ujumbe toka kwake au kama sio wewe ni gamba maana magamba hawajifunzi mazuri na mema hata siku moja
Ukisha lijua hilo huna haja ya kuangaika nao
 
Ukiona hivyo ashawapa kubwa kama sugu, afu clouse naifananisha na ccm mambo yake yamekaa kifisadi na wasiofikiria kesho
 
Mkuu hembu tujuze kitu hapa,kijana huyu anategemea ku graduate lini hasa katika elimu yake hapo UDSM?
 
Kibondee!!! hivi huwa anapata kweli muda wa kufikiria maisha baada ya clouds
 
Hahahaaa,nimemsikiliza tena hapa eti anadai kati ya aliyebambikiwa kesi na swahiba wa kikwe...ni yupi anastahili afungwe..
"Kama mlimuua amina hapa kwangu chuma cha reli" Roma bwana,.dah haya babu kambless aje town kutetea wanyonge
 
Puppy hembu ngoja kwanza, roma alipouliza kibonde ni member wa loan board ama TCU amemaanisha nini hapo?? au ndio kejeli kwa elimu ya kibonde ambayo haijafikia kiwango cha kuchangamana na hizi bodi?
 
Puppy hembu ngoja kwanza, roma alipouliza kibonde ni member wa loan board ama TCU amemaanisha nini hapo?? au ndio kejeli kwa elimu ya kibonde ambayo haijafikia kiwango cha kuchangamana na hizi bodi?

Kibonde katika ile show yao ya jioni "Jahazi" aliwapaka sana wanafunzi wa vyuo vikuu, aliongelea sana lifestyle yao wakiwa na boom. Na unamjua jamaa anavyojua kuongea kama taarab lazima akukere. Jamaa wa UDSM wakamjibu kwa kubandika elimu Matokeo yake sana ya kidato cha nne, alofeli. Na Roma Ndio Akamuuliza wewe ni Member wa Loan Board au TCU??? Maana kibonde anajifanya anajua sana mambo yao wanachuo.
 
Ukiona hivyo ashawapa kubwa kama sugu, afu clouse naifananisha na ccm mambo yake yamekaa kifisadi na wasiofikiria kesho
 
Wasanii mambumbu ndio wanaosifiwa na clouds tu,wenye akili wote hawawaongelei kabisa.
 
pole kama hujapata ujumbe toka kwake au kama sio wewe ni gamba maana magamba hawajifunzi mazuri na mema hata siku moja

ujumbe gani utoke kwa Roma au iyo mikelele anayopiga?anapayuka majina ya watu ili nyimbo zipate attention hana jipya zaidi ya hilo.
 
kwenye mathematics kuna hii sentence... watu wanajiuliza eti dkt slaa anapata wapi data wakati ata kama nimevaa mlegezo ikulu napiga chata// .jaribu kuchambua apo kiugreat thinker then kuna kitu utarealize. like whooa!!!!!
 
Wasanii mambumbu ndio wanaosifiwa na clouds tu,wenye akili wote hawawaongelei kabisa.

uyu roma mganga njaa ni mmoja ya wasanii wanaopafomu show za clouds kwa laki moja per show,clouds wanawaita kundi B,na hakosi kwenye show zao wala ajawai kugomea pesa mbuzi anazopewa.hizi nazo ni akili!??
 
jamaa ni mwanaharakat wa maneno angekuwa wa ukwel asingewachekea clouds
jinsi wanavyo wanyonya
wasanii.
Anawaogopa CLOUDS! Hata facebook mkimuuliza swala juu ya uzandiki wa
media kwa Tz hiphop anakimbia. So
ni mwanaharak wa mdomoni.
 
Namkubali sana huyu sema tu simu yangu inashindwa kusave nyimbo zake,na uzuri anaongea ya ukweli sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…