Roma adaiwa kutaka kuhamia CCM

Da mange kasema![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23]
 
Achana na tumbo shemeji. Hakuna mbabe mbele ya tumbo
Kweli shemu sibishi alafu umenikumbusha kuna daladala zilikua zimeandikwa..

...Njaa haina baunsa...

...Adui muombee njaa...
 
Jitolee mkuchangia chakula na ada ya mtoto asiende
Sasa nimchangie mara ngapi ndugu? Mimi ni mdau wake mkubwa tatika kazi anazofanya, nyimbo nabuy online ata shows zake nyingi sijawahi kuziacha salama
 
Sasa nimchangie mara ngapi ndugu? Mimi ni mdau wake mkubwa tatika kazi anazofanya, nyimbo nabuy online ata shows zake nyingi sijawahi kuziacha salama
Hizo shows na nyimbo za kukuuzia wewe si wamebani mpaka aunge mkono juhudi za mkuu
 
Hizo shows na nyimbo za kukuuzia wewe si wamebani mpaka aunge mkono juhudi za mkuu
Mkuu nakuambia nabuy online sasa Mkito.com, Mdundo.com au Wasafi.com wanaburn vp?

Shows nazo nimeongelea...
 
Hizo shows na nyimbo za kukuuzia wewe si wamebani mpaka aunge mkono juhudi za mkuu
Hapo juu umesema aunge mkono juhudi za mkuu*d*
Hufamu shows wamemfungia
Alafu hapa chini kuna hafanyi shows wamemfungia

Maswali...

Kuunga mkono juhudi za mkuu zinauhusiano gani na swala lake la kufungiwa mziki?

Akiwa huko ccm juhudi za mkuu ndio anaziunga vipi mkono yani?

Miezi sita aliyofungiwa ikiisha akarudi chadema watamfungia tena?
 
And they must be maana huyu mzee wa ita defender, itawajeda, sijui viva viva na mataputapu mengine kibao leo hii kweli anasanda? Njaa haijawahi kumuacha mtu salama
Njaa hainaga bouncer kudadeki. Hatarious
 
Ni kweli tunalazimishana mambo
 
Hahah!! Ukinikata damu yangu ni Lowassa mtupuu, maeeeee leo sio yule tena
Lowassa huku una njaa, siasa ni mchezo mchafu *****. Ubaya unakuja ukihujumiwa usiweze pata hata mkate wako wa kila siku
 
Kama Da Mange kasema nani wakubisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…