Kweli kabisa. Ukishindwa kupambana nao ungana naoEeeh
Anaye mkataza ahakikishe ana mpa Roma kazi ya maana ili Roma alishe familia. Kina Mbowe wenyewe wanalala jela sasa wewe mwananchi tuu kwa nn ushindane na chama bhana.
Ili utawale kwa raha ni lazima utoe upinzaini.Nchi maskini ya vi-wonder inakesha kununua madiwani, kuwarubuni wasanii, na kurudia chaguzi kwa zaidi ya shilingi bilioni moja kila chaguzi. Chaguzi zenyewe zinahitimishwa kwa kuua wanafunzi kwa risasi Ni nchi ya vi-wonder kweli. Isitoshe spika wake wa bunge anakatwa vidole kila kukicha huko India kwa gharama za walipa kodi. Ni nchi ya vi-wonder!!!!
Hahah.......swali la nyongeza, alikuwa chadema kwa maslahi ya mdomo (njaa) !?
Anaisha kizembe sana.Kweli kabisa. Ukishindwa kupambana nao ungana nao
Diamond hawawezi kumzingua sababu ni rafiki wa naibu. Roma ana familia inamtegemea. Akikoseshwa kufanya mziki leo familia yake itaishije? Cdm kama wanaweza kumsaidia aishi sawa ila kwa makamanda kulivyo kukavu hata hela ya kumsaidia mwanae ada hawawezi kumpa.Anaisha kizembe sana.
Lakn afanyeje?
Diamond anazinguliwa japo walishirikiana kumpandish mfalme kitini....sasa huyu alikuwa anamvuta nyuma...
Nikweli mkuu ila awamu hii tutaona na kusikia mengiAcha tuu aende. Maana hata akibaki cdm hatutamlisha.
Apande kwenye majukwaa achukue nafasi ya captain komba.
Na huu ni mwanzo tuuu. The Future is Exciting [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikweli mkuu ila awamu hii tutaona na kusikia mengi
Katika msafara wa mambaMara wema kufungiwa
Mara Roma kakaa kimya !
Which is which ??
And they must be maana huyu mzee wa ita defender, itawajeda, sijui viva viva na mataputapu mengine kibao leo hii kweli anasanda? Njaa haijawahi kumuacha mtu salamaNa huu ni mwanzo tuuu. The Future is Exciting [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani siku hizi mnajielewa, kama kuwa na brenda ya juice nyumbani mnasema mtu anamiliki kiwanda hata hili sishangai.Roma Hana impact yoyote CCM au CDM.
Hizi ngonjera zinginge hazimake any sense.
Achana na tumbo shemeji. Hakuna mbabe mbele ya tumboAnd they must be maana huyu mzee wa ita defender, itawajeda, sijui viva viva na mataputapu mengine kibao leo hii kweli anasanda? Njaa haijawahi kumuacha mtu salama
Kwani siku hizi mnajielewa, kama kuwa na brenda ya juice nyumbani mnasema mtu anamiliki kiwanda hata hili sishangai.
Wangapi wametishwa hata watu wadogo ili wahamie huko wengine hata hawafahamiki kabisa afadhali ya roma
Nimeandika kiswahili hivyo hata maneno yaliyo tohoelewa kutoka kwenye kingereza yanaandikwa kwa kiswahili pia.Ni Blender sio Brenda.
UKIWA MJOMAAKE AU MDOGOWAKE SHETANI HUWEZI KAMWE KUMUELEWA HUYU MDADA MZALENDO MANGEIla huyu mdada mange nimetokea kumdharau sana
Mkuu avatar yako yanikumbusha mbali sana, niliwahi soma kitabu nimekisahu jina mfalme alidanganywa na fundi wake kama sikosei mfalme akaingia kingi akatokea mtaani chukuchuku (bila mavazi)Ili utawale kwa raha ni lazima utoe upinzaini.
Check my avatar