Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,284 Reaction score 108,300 Jan 6, 2022 #101 CharmingLady said: Kama kawaida yangu CharmingLady ninapenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka mpya… Hebu watag members wote wa CC ili tujue kama bado tupo nao… naanza na ndugy zangu, kisha marafiki na hata majirani FirstLady1 ladyfurahia Click to expand... Jambo douta...
CharmingLady said: Kama kawaida yangu CharmingLady ninapenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka mpya… Hebu watag members wote wa CC ili tujue kama bado tupo nao… naanza na ndugy zangu, kisha marafiki na hata majirani FirstLady1 ladyfurahia Click to expand... Jambo douta...
atlas copco JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 8,545 Reaction score 9,774 Jan 6, 2022 #102 CharmingLady said: Kama kawaida yangu CharmingLady ninapenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka mpya… Hebu watag members wote wa CC ili tujue kama bado tupo nao… naanza na ndugy zangu, kisha marafiki na hata majirani FirstLady1 ladyfurahia Click to expand... Thanx God tumeuona tena
CharmingLady said: Kama kawaida yangu CharmingLady ninapenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka mpya… Hebu watag members wote wa CC ili tujue kama bado tupo nao… naanza na ndugy zangu, kisha marafiki na hata majirani FirstLady1 ladyfurahia Click to expand... Thanx God tumeuona tena
EJM_ JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 3,836 Reaction score 2,108 Jan 15, 2022 #103 Duh hope wahenga wenzangu mko salama. Heri ya mwaka mpya. CharmingLady habari za siku mrembo
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,589 Jan 17, 2022 #104 CharmingLady said: Kama kawaida yangu CharmingLady ninapenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka mpya… Hebu watag members wote wa CC ili tujue kama bado tupo nao… naanza na ndugy zangu, kisha marafiki na hata majirani FirstLady1 ladyfurahia Click to expand... hahhaaaaaaaaaaaaaaa asante ndugu yangu umenikumbuika aisee il love u, mm namkumbuka Mtambuzi, Lady doctor, KakaKiiza , Khantwe , Mentor , [huyu sijui yuko wapi now] na Mamndenyi
CharmingLady said: Kama kawaida yangu CharmingLady ninapenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka mpya… Hebu watag members wote wa CC ili tujue kama bado tupo nao… naanza na ndugy zangu, kisha marafiki na hata majirani FirstLady1 ladyfurahia Click to expand... hahhaaaaaaaaaaaaaaa asante ndugu yangu umenikumbuika aisee il love u, mm namkumbuka Mtambuzi, Lady doctor, KakaKiiza , Khantwe , Mentor , [huyu sijui yuko wapi now] na Mamndenyi
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,589 Jan 17, 2022 #105 M'Jr said: Duh hope wahenga wenzangu mko salama. Heri ya mwaka mpya. CharmingLady habari za siku mrembo Click to expand... nilijua tu aisee ngoja nimjibie nzuri
M'Jr said: Duh hope wahenga wenzangu mko salama. Heri ya mwaka mpya. CharmingLady habari za siku mrembo Click to expand... nilijua tu aisee ngoja nimjibie nzuri
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,589 Jan 17, 2022 #106 Baba V said: Shem miss wewe, samilia Watu8 Click to expand... nakusaka sana ndugu yangu upo pande zipi maana imenibidi nifukue file la 2016 kukusaka sana
Baba V said: Shem miss wewe, samilia Watu8 Click to expand... nakusaka sana ndugu yangu upo pande zipi maana imenibidi nifukue file la 2016 kukusaka sana
EJM_ JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 3,836 Reaction score 2,108 Jan 18, 2022 #107 ladyfurahia said: nilijua tu aisee ngoja nimjibie nzuri Click to expand... Tuanzie hapo kwenye ulijua
ladyfurahia said: nilijua tu aisee ngoja nimjibie nzuri Click to expand... Tuanzie hapo kwenye ulijua
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Jan 1, 2023 Thread starter #108 Heri ya Mwaka Mpya wana CC Binafsi Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa Neema ya kuuona Mwaka 2023… Hebu Mtag mwana JF yeyote unayempenda kama ameweza kuuona Mwaka mpya… CL Mshana Jr kaka upo?
Heri ya Mwaka Mpya wana CC Binafsi Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa Neema ya kuuona Mwaka 2023… Hebu Mtag mwana JF yeyote unayempenda kama ameweza kuuona Mwaka mpya… CL Mshana Jr kaka upo?
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,579 Jan 1, 2023 #109 To yeye upo?
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,136 Jan 1, 2023 #110 CharmingLady said: Heri ya Mwaka Mpya wana CC Binafsi Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa Neema ya kuuona Mwaka 2023… Hebu Mtag mwana JF yeyote unayempenda kama ameweza kuuona Mwaka mpya… CL Mshana Jr kaka upo? Click to expand... Heri ya mwaka mpya nawe CharmingLady ukawe mwaka mzuri kwao na familia yako. Nikiona I'd yako nakumbuka mbali kidogo
CharmingLady said: Heri ya Mwaka Mpya wana CC Binafsi Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa Neema ya kuuona Mwaka 2023… Hebu Mtag mwana JF yeyote unayempenda kama ameweza kuuona Mwaka mpya… CL Mshana Jr kaka upo? Click to expand... Heri ya mwaka mpya nawe CharmingLady ukawe mwaka mzuri kwao na familia yako. Nikiona I'd yako nakumbuka mbali kidogo
50thebe JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 4,139 Reaction score 4,117 Jan 1, 2023 #111 Wishing you health, joy and more success in 2023
EJM_ JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 3,836 Reaction score 2,108 Jan 1, 2023 #112 Heri ya mwaka mpya kwenu nyote. Nimegundua Sasa nimeanza kuzeeka maana nimesherehekwa ndani mwenyewe hata sijatoka kuangalia fataki nje Sent using Jamii Forums mobile app
Heri ya mwaka mpya kwenu nyote. Nimegundua Sasa nimeanza kuzeeka maana nimesherehekwa ndani mwenyewe hata sijatoka kuangalia fataki nje Sent using Jamii Forums mobile app
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,666 Jan 1, 2023 #113 Pendaelli said: Heri ya mwaka mpya nawe CharmingLady ukawe mwaka mzuri kwao na familia yako. Nikiona I'd yako nakumbuka mbali kidogo Click to expand... Kheri ya Mwaka mpya Mpendwa....
Pendaelli said: Heri ya mwaka mpya nawe CharmingLady ukawe mwaka mzuri kwao na familia yako. Nikiona I'd yako nakumbuka mbali kidogo Click to expand... Kheri ya Mwaka mpya Mpendwa....
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,136 Jan 1, 2023 #114 Makiwendo said: Kheri ya Mwaka mpya Mpendwa.... Click to expand... Asante sana Makiwendo nafurahi nawe upo jana leo na daima!
Makiwendo said: Kheri ya Mwaka mpya Mpendwa.... Click to expand... Asante sana Makiwendo nafurahi nawe upo jana leo na daima!
OTIS JF-Expert Member Joined Sep 7, 2011 Posts 2,252 Reaction score 833 Jan 1, 2023 #115 Watu8 said: Jambo douta... Click to expand... Happy New Year CL
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,284 Reaction score 108,300 Jan 1, 2023 #116 It's a brand new year, God bless y'all
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Jan 1, 2023 #117 Preta said: Nipo......uwiiii......kumbe rollcall ilipita.....nilizimika bana...... Happy New Year kwenu wote..... @IGWE @PakaJimmy @Easymutant @LiverpoolFC @Mzee wa Rula @Blaki Womani Njoeni muitike roll call........ Click to expand... Happy New Year 2023 to you all………..🎊🎊
Preta said: Nipo......uwiiii......kumbe rollcall ilipita.....nilizimika bana...... Happy New Year kwenu wote..... @IGWE @PakaJimmy @Easymutant @LiverpoolFC @Mzee wa Rula @Blaki Womani Njoeni muitike roll call........ Click to expand... Happy New Year 2023 to you all………..🎊🎊
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Jan 1, 2023 #118 Watu8 said: It's a brand new year, God bless y'all Click to expand... Oooh yeahhhhh……very brand New Year Dr…… Happy New Year 2023……….
Watu8 said: It's a brand new year, God bless y'all Click to expand... Oooh yeahhhhh……very brand New Year Dr…… Happy New Year 2023……….
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,284 Reaction score 108,300 Jan 1, 2023 #119 Preta said: Oooh yeahhhhh……very brand New Year Dr…… Happy New Year 2023………. Click to expand... Hey P 😘 Happy New Year dear, it has been a while...
Preta said: Oooh yeahhhhh……very brand New Year Dr…… Happy New Year 2023………. Click to expand... Hey P 😘 Happy New Year dear, it has been a while...
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,136 Jan 1, 2023 #120 Nafurahi kuona former members wa jf , hivi kumbe mpo ? Mbona mnaacha jukwaa linavamiwa hivi na madogo wa juzi kati
Nafurahi kuona former members wa jf , hivi kumbe mpo ? Mbona mnaacha jukwaa linavamiwa hivi na madogo wa juzi kati