Role model mtaani

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,348
1,803
Naitizama documentary ya Jay Z inayokwenda kwa jina la Fade To Black najifunza mambo mengi sana na huwa siichoki kuitizama documentary hii ,lakini kinacho nivutia zaidi kwa Jay Z ni mapenzi yao na mke wake Beyoncé Giselle Knowles-Carter.

Mke wake kwanza amemfanya rafiki harafu wanafana kwa vitu vingi sana,moja ya msingi mzuri wa mapenzi bora ni kuwa na urafiki na mpenzi wako,kwa lugha tamu mwenzi wako anakuwa rafiki na ni mpenzi kwa wakati mmoja ,mnashare kwa pamoja furaha na huzuni na wewe ndio unakuwa mtu wa kwanza kwake kwa kila kitu .

Raha ya penzi umpate mtu mwenye mapenzi ya dhati na akupe penzi lenyewe kwa unyenyekevu na ubunifu mkubwa ndio utajua raha ya penzi.siku zote nasema penye mapenzi ya kwei na uwazi daima huwa na mafanikio ya pamoja na baraka za pamoja.

Pesa huleta jina kiburi na maringo mama Beyonce ana pesa baba Jay z ana pesa na bado penzi linadumu na kuwa bora na kila iitwayo leo ,Tizama jinsi wanavyotengeneza pesa wanandoa hawa

Year Jay Z Beyonce
Estimated Earnings 2012 $42.0 million $40.0 million
Estimated Earnings 2014 $60.0 million $115.0 million
Estimated Earnings 2015 $56.0 million $54.5 million
Estimate Net Worth 2016 $600.0 million 450.0 million

Vijana wengi wanapenda kuiga tabia na kila kitu ambacho Jay z anafanya pamoja na mkewe ila wanakosa shabaha ya kuiga utashi wa Jay z .

One good thing about music, when it hits you, you feel no pain.
GedsellianTz
 
u might think wana raha kumbe matatizo matupu xo better live ur lyf in a positive way
 
Back
Top Bottom