Imebainika kwamba Roho za watu wasio itakia mema CCM kwa sasa zinawauma baada ya chama hicho kuendelea kujiimarisha kushika Dola la Tanzania. Mkutano wa CCM Taifa umemalizika jana kwa mafanikio makubwa huku ukiacha huzuni na majonzi makubwa kwa CHadema.
Hotuba za kusisimua kutoka kwa Rais JK na Rais Mtarajiwa JPM ( John Pombe Magufuli ) zinaashiria amani, neema na ushindi kwa CCM katika chaguzi zijazo. Hata wapinzani Pia Mbowe na Shibuda kwanyakati tofauti tofauti katika hotuba zao wameonekana kukoshwa na Kasi ya CCM ya JK na Magufuli katika kufanikisha gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Hakika Roho zitawauma zaidi na zaidi kwani huo ni mwanzo tu .
Mungu Ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania