Roho zinawauma CCM inavyozidi kujiimarisha kileleni

Roho zinawauma CCM inavyozidi kujiimarisha kileleni

Ili CCM iweze kurudisha imani kwa wananchi,inatakiwa ifanye yafuatayo,
1. Kupeleka watuhumiwa wote wa ufisadi mahakamani
2.Kurudidha pesa za umma zilizofichwa nje ya nchi
3.Kuruhusu utawala wa sheria kufanya kazi
4.Kuacha kuchagua viongozi kwa kujuana
5.Kuondoa viongozi wote walioingia madarakani kwa rushwa
6.Kutekeleza ahadi zake za kuwapa maisha bora Watanzania.

Hayo machache wakitekeleza,wananchi watarudisha Imani na hiki chama.
 
Hahaaaaa hayatekelezeki, si unaona wanahangaika na makundi tu ambayo wameshindwa kuyaua! Naona wanaendelea kushikana mikono na mafisadi wao! Sasa chadema inahusikaje huko!
 
Hizo njaa zenu zitawafikisha pabaya,vitu vingine havihitaji elimu kubwa kutambua kwamba nchi yetu inahitaji mabadiliko! Eti kujiimarisha! Khaa...ngoja nitulie ninakoelekea nahisi Ban inanukia.
 
Hivi we dada emmy kwanini huwaga ukiandikaga huna cha maana ni shule ndogo au ndo ubongo wako umewazima watu

wala usipate shida mkuu,usitumie nguvu nyingi kupambana na mpumbavu,just action tu zinatosha!
 
Mbona CCM ndio zao za kupanga na kupangua safu?

Juzi kati walipotangaza kuvua Magamba walipanga safu,..sasa nini cha kushtua walipopanga safu jana kufuatia Joka lao kuongezeka ndimi?

MagambaJokaNdimiMbili yanajitafut bado...
 
Mleta mada si ndiye alikuwa analia lia hapa kuhusu uchaguzi wa UVCCM au?
 
Ili CCM iweze kurudisha imani kwa wananchi,inatakiwa ifanye yafuatayo,
1. Kupeleka watuhumiwa wote wa ufisadi mahakamani
2.Kurudidha pesa za umma zilizofichwa nje ya nchi
3.Kuruhusu utawala wa sheria kufanya kazi
4.Kuacha kuchagua viongozi kwa kujuana
5.Kuondoa viongozi wote walioingia madarakani kwa rushwa
6.Kutekeleza ahadi zake za kuwapa maisha bora Watanzania.

Hayo machache wakitekeleza,wananchi watarudisha Imani na hiki chama.

1. All CCM members accused of ufisadi have been taken to court of Justice (Liumba, Mramba, Yona et. al)
2. No CCM member has hidden $$$ in foreign banks
3. Rule of law is currently in place in this great nation
4. CCM is an equal opportunity entity. Nepotism has no place in CCM
5. No one has been elected via dirty tricks
6. During the last election, JK came up with many promises aiming at improving the lives of Tanzanians. Dar has a metro train. ATC is slowly coming into place. Tanzania has the best network of tarmac highways in Africa. GDP has been grown tremendously over the past 5 years. The economy is doing extremely well. We have more secondary schools than ever before. We have more varsities than most African countries.
 
Imebainika kwamba Roho za watu wasio itakia mema CCM kwa sasa zinawauma baada ya chama hicho kuendelea kujiimarisha kushika Dola la Tanzania. Mkutano wa CCM Taifa umemalizika jana kwa mafanikio makubwa huku ukiacha huzuni na majonzi makubwa kwa CHadema.

Hotuba za kusisimua kutoka kwa Rais JK na Rais Mtarajiwa JPM ( John Pombe Magufuli ) zinaashiria amani, neema na ushindi kwa CCM katika chaguzi zijazo. Hata wapinzani Pia Mbowe na Shibuda kwanyakati tofauti tofauti katika hotuba zao wameonekana kukoshwa na Kasi ya CCM ya JK na Magufuli katika kufanikisha gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Hakika Roho zitawauma zaidi na zaidi kwani huo ni mwanzo tu .

Mungu Ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania

Umelonga vyema kabisa kuwa CCM inajiimarisha kileleni. Hii ni sahihi kabisa kwa kuwa chaguzi hizi toka ngazi za mashina zimeshindwa kuleta mabadiliko yoyote ya maana kwa ngazi husika ndio maana hata Mwenyekiti JK alilalamikia hali ya viongozi wa ngazi mbali mbali kutokutenda kazi za chama katika hotuba yek ya kufunga mkutano mkuu. Toka lini matatizo katika msingi wa nyumba yakarekebishwa kwa kulifanyia paa ukarabati mkubw ana kwa mbwembwe za hali ya juu?

ikiwa marekebisho katika mashina na matawi ya chama (msingi wa nyumba); ngazi za wilaya (kuta za nyumba) na ngazi za mikoa (Linta) hayajaweza kuleta matunda kwa maana ya kuzuia nyufa kubwa kubwa katika nyumba yaani CCM; ni kwa vipi marekebisho katika uongozi wa kitaifa (paa la nyumba) utaweza kuzuia nyumba kuanguka?

Ni ukweli usiopingika kuwa tatizo la CCM ni ufisadi toka ngazi ya taifa hadi mashina. Sasa mnategemea vipi viongozi wa mashina, matawi, wilya na mikoa wafanye kaqzi za chama kama alivyollalamika Mwenyekiti Jk ilihali katika nghazi ya taifa mnatafuna raslimali za taifa?
 
Imebainika kwamba Roho za watu wasio itakia mema CCM kwa sasa zinawauma baada ya chama hicho kuendelea kujiimarisha kushika Dola la Tanzania. Mkutano wa CCM Taifa umemalizika jana kwa mafanikio makubwa huku ukiacha huzuni na majonzi makubwa kwa CHadema.

Hotuba za kusisimua kutoka kwa Rais JK na Rais Mtarajiwa JPM ( John Pombe Magufuli ) zinaashiria amani, neema na ushindi kwa CCM katika chaguzi zijazo. Hata wapinzani Pia Mbowe na Shibuda kwanyakati tofauti tofauti katika hotuba zao wameonekana kukoshwa na Kasi ya CCM ya JK na Magufuli katika kufanikisha gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Hakika Roho zitawauma zaidi na zaidi kwani huo ni mwanzo tu .

Mungu Ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania

Nina imani kubwa kabisa kuwa hakuna mtu atakayekupinga kwa kuwa huko CCm ndio maisha yako yaliko kwa maana hiyo bila CCm kaka utakufa kwa njaa pole sana,Lakini usisau ipo siku moja mboga ikikata na ugali umebaki sifahamu itakuwaje kwako na familia yako ati Ccm inazidi kuimarika kwa lipa hasa la kuifanya iimarike kama kweli inaimarika huu wizi wa kura wa nyie kwa nyie unatoka wapi?Rushwa kibao kwa chaguzi zenu ndio kuimarika huku?Mnaibiana kura wenyewe kwa wenyewe ili mumjazie Kikwete ili aonekane hajapata hata kura moja ya HAPANA Lol ati Ccm inaimaarika M...ku.....n...d..u.
Naomba ujibu swali la jamaa mmoja kakuuliza hivi wewe uko upande gani kwa CCm?Then after that jibu hizi hoja zangu Kilaza mkubwa
 
Emmy akili yako ni sawa na akili ya shomoro ukubwa wake! Umevuka kwene ujinga unaelekea kuwa mpumbavu. Kama wasira kapata kura nyingi kwa sababu ametamka kuwa yeye ni kiboko ya chadema, huo ni uzuzu na upumbavu mkubwa kwa wapiga kura wa ccm. Poleni
 
Imebainika kwamba Roho za watu wasio itakia mema CCM kwa sasa zinawauma baada ya chama hicho kuendelea kujiimarisha kushika Dola la Tanzania. Mkutano wa CCM Taifa umemalizika jana kwa mafanikio makubwa huku ukiacha huzuni na majonzi makubwa kwa CHadema.

Hotuba za kusisimua kutoka kwa Rais JK na Rais Mtarajiwa JPM ( John Pombe Magufuli ) zinaashiria amani, neema na ushindi kwa CCM katika chaguzi zijazo. Hata wapinzani Pia Mbowe na Shibuda kwanyakati tofauti tofauti katika hotuba zao wameonekana kukoshwa na Kasi ya CCM ya JK na Magufuli katika kufanikisha gurudumu la maendeleo ya nchi yetu. Hakika Roho zitawauma zaidi na zaidi kwani huo ni mwanzo tu .

Mungu Ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania

Hii ni akili ya MAITI kabisa,,, yaani unaita hotuba ni mafanikio???

Watoto wanasoma shule hazina mapaa, dispensary hazina dawa, hospitali akina mama wanajifungua sakafuni wewe unadai hotuba za JK na JPM ndio mafanikio??

Ningekuwa basha ningekutafuta maana umeniharibia kabisa siku hata kama lengo lako ni kujikomba kwa wanaokulipia mlo wako wa siku
 
Ni kweli mimi roho inaniuma sababu munazidi kupanga safu jinsi mutakavyoifilisi NCHI na ufisadi, roho inaniuma sana lakini MUNGU yupo pamoja na WATANZANIA.
 
Xenophopia is not a good thing, my brother!

RAJ PATEL JR

you seem congested with worry and fear

relax no one will confiscate your treasures but you have to explain how did you get it

be ready my brother .... world financial crime unit will be here soon
 
Last edited by a moderator:
Raj PATE JR

you seem congested with worry and fear

relax no one will confiscate your treasures but you have to explain how did you get it

be ready my brother .... world financial crime unit will be here soon

Most of Tanzanians are suffering from Ujamaa syndrome. When one works hard and eventually become successful he's branded a fisadi!
How many of you do go straight to the bars for boozing just after work? How many of you spend long idle hours (esp. on weekends) in beer joints all over Dar es salaam boozing and eating nyama choma? Time is money.
 
Back
Top Bottom