Roho za Kinyama..

Roho za Kinyama..

Sina hakika uislam ni unyama. Nijuavyo mimi kuwa watu wanajificha nyuma ya kivuli cha dini ya uislamkama njia ya kuficha uovu wao, na wakati huo huo wakijua kile wanachofanya hakikubariki kwenyue jamii. Ssa ili waweze kupata sympathy wakti wa matatizo, wanajua nikisema ni uislam bila shka wanadini wenzangu watakuja kunitetea! Hii sio usilam ndugu bali ni wendawazimu wa mtu mmoja mmoja
Haya yanatokea nchi za kiislamu tu, kwa nini? Wao wanadai Uislamu ni Amani, inakuwaje hao hao wana chinja waandishi wa habari, wana vikundi vya mauaji kama Al-Kaida, Al-Shabab, Bokoharam nk? Why-unafiki?
 
hii dunia dha!! mengi yanayotokea yanaumiza. Mungu atupiganie
 
Haya yanatokea nchi za kiislamu tu, kwa nini? Wao wanadai Uislamu ni Amani, inakuwaje hao hao wana chinja waandishi wa habari, wana vikundi vya mauaji kama Al-Kaida, Al-Shabab, Bokoharam nk? Why-unafiki?

Wewe hembu tumia akili zako japo kidogo kabla ya kujibu, usitake kuleta migongano kati ya waislamu na wakristo ... kikiwaka hapa tanzania wewe utafaidika nini ?
Kwanza jiulize maswali yafuatayo
1.Ingekuwa uislamu ndo umeruhusu huo unyama mbona tunaona waziri hapo amemtembelea huyo mtoto au ameenda kum-malizia? Matukio hayo hufanywa na wahalifu na sio waislam
Umefatilia hiyo habari na kujua wahusikwa wamefanywaje na serekila ya kiislamu

2.Mapadri wanapowadhalilisha watoto makanisani inaanisha ukristo ndo unafundisha hayo ?Au wakristo wote wapo hivyo ?

3: Mauaji ya albino tanzania je inamaanisha watanzania wote ni wapo hivyo ?
Hembu bonyeza linki hapo chini uoone mambo
Aljazeera-Wafichua Mauaji ya Maalbino Tanzania - YouTube

Haya niambie hawo wanawakilisha dini gani ?

4: Hembu angalia hizi picha hapa

unaanza.JPGkweny tail.JPGwizi.JPG
Kwa habari zaidi bofya hapa NI TANZANIA ,KANISA LATENDA UNYAMA WA KUTISHA MBEYA ~ thebrax
Hili ni moja tu kati ya matukio meeeeeeeengi hapa tanzania

5:Hebu angalia waafrika wanavyofanywa huko Canada -- hawa ni wakristo wanaofanya hivi --- jee tuseme wakristo wote wapo hivi?
Racism in Canada 2 - YouTube

6:Hebu angalia waafrika wanavyofanywa huko Urusi -- hawa ni wakristo wanaofanya hivi --- jee tuseme wakristo wote wapo hivi?
From Russia With Hate - CURRENT TV - YouTube

7:wewe unawajuwa hawa ? Hawa ni wakristo lakini haimaanishi wanawakilsha wakristo wote duniani
au kwa sababu hivi vikundi havitangazwi na CNN ?
*Lord's Resistance Army.
*National Liberation Front of Tripura
*Ku Klux Klan
*Provisional Irish Republican Army

8: Haya mambo yanatokea kila siku hapa tanzania je ina maanisha watanzania wote tupo hivi ?
* Mama amchoma moto mwanae kwa kuiba Sh. 500
*amkata mumewe uume kwa kumkuta na kondom

9.Hayo yaliyowekwa hapo juu yanaitwa matatizo ya kifamilia (Domsetic violence) na yanatokea kote duniani
* Violence Against Women in the United States: Statistic

10.Mwisho unayakumbuka mauaji ya Rwanda ? si tuliambiwa Mapadri ndio walikuwa wanafungia watu makanisani wauliwe ?
je hii inamaanisha mapadri wote ndio tabia zao ?
dead.gif

Hitimisho
Usiwajumuishe watu katika kitu kwa sababu tu wanatoka jamii fulani hii si tabia ya kisomi

[h=1]

[/h]
 
Na haya mauaji ya Malmö na Oslo ni uislam?wacha dhana mbaya ukatili hauna mipaka wala eneo,Uko nyumbani mwizi anachomwa moto sasa wachomajai ni waislam?
 
Wewe hembu tumia akili zako japo kidogo kabla ya kujibu, usitake kuleta migongano kati ya waislamu na wakristo ... kikiwaka hapa tanzania wewe utafaidika nini ?
Kwanza jiulize maswali yafuatayo
1.Ingekuwa uislamu ndo umeruhusu huo unyama mbona tunaona waziri hapo amemtembelea huyo mtoto au ameenda kum-malizia? Matukio hayo hufanywa na wahalifu na sio waislam
Umefatilia hiyo habari na kujua wahusikwa wamefanywaje na serekila ya kiislamu

2.Mapadri wanapowadhalilisha watoto makanisani inaanisha ukristo ndo unafundisha hayo ?Au wakristo wote wapo hivyo ?

3: Mauaji ya albino tanzania je inamaanisha watanzania wote ni wapo hivyo ?
Hembu bonyeza linki hapo chini uoone mambo
Aljazeera-Wafichua Mauaji ya Maalbino Tanzania - YouTube

Haya niambie hawo wanawakilisha dini gani ?

4: Hembu angalia hizi picha hapa

View attachment 44818View attachment 44819View attachment 44820
Kwa habari zaidi bofya hapa NI TANZANIA ,KANISA LATENDA UNYAMA WA KUTISHA MBEYA ~ thebrax
Hili ni moja tu kati ya matukio meeeeeeeengi hapa tanzania

5:Hebu angalia waafrika wanavyofanywa huko Canada -- hawa ni wakristo wanaofanya hivi --- jee tuseme wakristo wote wapo hivi?
Racism in Canada 2 - YouTube

6:Hebu angalia waafrika wanavyofanywa huko Urusi -- hawa ni wakristo wanaofanya hivi --- jee tuseme wakristo wote wapo hivi?
From Russia With Hate - CURRENT TV - YouTube

7:wewe unawajuwa hawa ? Hawa ni wakristo lakini haimaanishi wanawakilsha wakristo wote duniani
au kwa sababu hivi vikundi havitangazwi na CNN ?
*Lord's Resistance Army.
*National Liberation Front of Tripura
*Ku Klux Klan
*Provisional Irish Republican Army

8: Haya mambo yanatokea kila siku hapa tanzania je ina maanisha watanzania wote tupo hivi ?
* Mama amchoma moto mwanae kwa kuiba Sh. 500
*amkata mumewe uume kwa kumkuta na kondom

9.Hayo yaliyowekwa hapo juu yanaitwa matatizo ya kifamilia (Domsetic violence) na yanatokea kote duniani
* Violence Against Women in the United States: Statistic

10.Mwisho unayakumbuka mauaji ya Rwanda ? si tuliambiwa Mapadri ndio walikuwa wanafungia watu makanisani wauliwe ?
je hii inamaanisha mapadri wote ndio tabia zao ?
View attachment 44822

Hitimisho
Usiwajumuishe watu katika kitu kwa sababu tu wanatoka jamii fulani hii si tabia ya kisomi

[h=1]

[/h]

well explained..big up mkuu kwa kumfumbua macho mbumbumbu alietaka kuleta udini kwenye hii thread..
 
Back
Top Bottom