Pole sana ila wakati mwingine BINADAMU ndo hukufanya mtu uwe na roho mbaya na watu tulio na roho nzuri za huruma huwa tunapata tabu sana katika maisha ya mahusiano eidha ya kirafiki au mapenzi roho zetu njema zisizo za visasi na huruma hutuponza sana tena sana
Inafika wakati huchelewesha hata maendereo ya kimaisha
kuna wakati rafiki yangu mmoja kipenzi kabisa lkn hivi sasa ni marehemu Aliniambia
HILI UFANIKIWE KIMAISHA YAKUPASA UISHI NA WATU VIZURI LAKINI ILI KUFIKIA MAFANIKIO YA JUU AU MARENGO YAKO HUNA BUDI KUWA NA ROHO MBAYA
nadhani ndicho kilichotokea kwako ulilazimika kuwa roho ya kikauzu ili mambo yaende 7bu ulichoshwa mno ikafika wakati ukaona kama mbwai na iwe mbwai tu
Ushauri wangu maisha tunapita tu hapa duniani haina haja ya kuwa na roho chuki na kisasi
MOYO ni nyumba ya kuhifadhi CHUKI hii ikiwa umeumizwa kwa kiasi kikubwa na wanadamu
lkn CHUKI ni UCHAFU katika moyo ukirundikana sana unaiambukiza ROHO uchafu huo mwisho unakuwa na ROHO MBAYA na UKATIRI
muhimu kutoka sasa safisha moyo wako kuondoa CHUKI zote ishi kama walivyoishi MITUME wetu kama wewe ni mkrsto basi ishi namna alivyoishi YESU na wanafunzi wake kama wewe MUISLAM basi fata namna alivyoishi MUHAMMAD na maswahaba wake hakika hutajutia katika maisha haya ukiishi kama mkimbizi katika DUNIA hii kwa7bu hujui utaumwa lini nani atakusaidia utakufaje utakufa lini atakuzika nani na huko uendako ni nn kitatokea kumbuka utakapokufa utakumbukwa kwa mazuri yako na mabaya yako sasa ikiwa idadi ya wanaokukumbuka kwa mabaya ni kubwa itakupa tabu sana huko kaburini 7bu tunakufa kimwili lkn kiroho tupo nasi hasa zikiwa chafu hutangatanga sana duniani hazipo AKHERA hazipo KUZIMU hazipo basi huwa shida kwako mwanadamu
Mkuu piga moyo konde wakati ni sasa wasamehe wote nafsni mwako na muombe MOLA wako akufanye kuwa mtu mpya mwenye moyo SAFI
HAKIKA KILA MWENYE SUBIRA YUPO PAMOJA NA MUNGU basi naamini ipo siku MWENYEZIMUNGU atakujaria MARAFIKI BORA MARAFIKI CHANYA